kina kijukuu chako kimoja kijinga sana sijui hukukilipa vizuri kinawasimlia wajinga wenzie huko nilikuomba tuonane na ukaniona niliyo kabaya kafupi 🤣Tatizo la wajukuu hawataki kuniletea Kiko babu yao hadi nakaribia kupigwa na baridi 🤪
Bila picha.. hii itakuwa Chai ya TatepaDah aliyewaambia pesa aileti furaha
aliwadanganya
Mjukuu yupi tena jamenikina kijukuu chako kimoja kijinga sana sijui hukukilipa vizuri kinawasimlia wajinga wenzie huko nilikuomba tuonane na ukaniona niliyo kabaya kafupi 🤣
Hakuna mbaya babuNini mbaya mjukuu 🤭
Watu mnapigilia😂😂Vacation coco beach
Please tell!Hakuna mbaya babu
hahaaa uwe unawalipa vizuri wapunguze wivu mzeeMjukuu yupi tena jameni
Si unajua humu sijawahi kuonewa huruma hata na mjukuu mmoja
Kama ni kuhusu urimbwende, kwa zile picha nilizoona juzi selfika, una stahili ng'ombe 100
Niliona kabisa vile yaliyomo yamo 🤭
pesa inaleta happiness ila haileti joy.Msemo sahihi ni PESA SIO KILA KITU. Pesa inaweza kuleta furaha.sana tu.
Babu gudubaiiihahaaa uwe unawalipa vizuri wapunguze wivu mzee
aibu naona mimi,loh!
Taratibu mjukuu, si unajua nina Presha babu yenu 🤗hahaaa uwe unawalipa vizuri wapunguze wivu mzee
aibu naona mimi,loh!
Babu kapunguza mishahara anaanza kupewa sifa chfu chafu hizi!Babu gudubaiii
itabidi urudishe majeshi kwanza ukatoe heshima kule ndio uje! utaua wajukuu zako hali ni ngumu mno mzee!🤭Taratibu mjukuu, si unajua nina Presha babu yenu 🤗
Kwahiyo umegoma kabisa kuniletea Kiko eeh? Sasa nitathaminishaje wajukuu jameni 🏃🏃
Hiyo gudubai vipi mjukuu 🤭Babu gudubaiii
Unaweza ukawa na pesa ila huyo baby na hiyo familia ukakosa.Wanaosema pesa haileti furaha watakuwa hawajaonja utamu wa kulala mkikumbatiana na baby kwenye hotel iliyopo ufukweni mwa bahari huku mkipeana yote
Wanakuwa hawajui raha ya kusafiri Duniani (vacation) huku mkitembelea malls kubwa kufanya shopping huku mkilipa kwa kuchanja na kadi
Wanakuwa hawajaonja furaha ya kutoka na familia mkaenda kutalii Arusha national park huku mkichoma nyama ya swala
itabidi urudishe majeshi kwanza ukatoe heshima kule ndio uje! utaua wajukuu zako hali ni ngumu mno mzee!🤭
Una uhakika babu hujapita na wajukuu zako kweli wewe?🤣Ila kwenye huu mtandao ni kwenda nao taratibu mjukuu, sio vibaya kupotezea baadhi ya mambo
Kuna wakati niliwahi kuzushiwa nimetoka na Wajukuu kadhaa humu, lakini ukweli hata mmoja sijabahatika
Babu yenu mwenyewe hata meno ya kula hizo nyama sina
Na Wajukuu wenyewe tukiomba mtuletee Kiko hata hamtaki kabisa 🥲
Sio rahisi Mkuu ukose baby, labda uwe na matatizo ya kiafya. Japo kwa sasa teknolojia ilivyokomaa, hata ukiwa na matatizo ya kiafya, still unaweza kupata mke na watoto juuUnaweza ukawa na pesa ila huyo baby na hiyo familia ukakosa.
Pesa ni nyenzo tu ya kuifikia furaha ila furaha ya kweli inatoka ndani yako.
Hakuna Babu hapo,huyo ni kijana wa miaka 45 tu,Una uhakika babu hujapita na wajukuu zako kweli wewe?🤣
Basi wana shobo so kitoto!