Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hahaha umepatia sana! Nimetoka kuupiga sasa hivi! 🤣Msukuma huyo,hua anasonga ugali mkubwa kisha ana songa na kaugali kadogo,ambako ndio hua anakatumia kama mboga ya kulia ugali mkubwa.
Hahaha umepatia sana! Nimetoka kuupiga sasa hivi! 🤣Msukuma huyo,hua anasonga ugali mkubwa kisha ana songa na kaugali kadogo,ambako ndio hua anakatumia kama mboga ya kulia ugali mkubwa.
Kwani una zizi umeandaa? Kwa ule mzigo niliouona Jana selfika, nakuletea fuso mbili kama za Mobetto ðŸ¤Ng’ombe wapokee wengine kiko nilete mimi😂
JesusBabu kapunguza mishahara anaanza kupewa sifa chfu chafu hizi!
Hio hio Pesa kuna watu wanakatwa vichwa mwili unaenda kuzikwa bila kichwa sababu ya PesaHapa duniani kitu cha kwanza na kizuri kuliko vyote ni PESA, halafu kitu kibaya kuliko vyote niUMASKINI
Tutafute hela🙌🙌
Hebu tulia mzee..Kwani una zizi umeandaa? Kwa ule mzigo niliouona Jana selfika, nakuletea fuso mbili kama za Mobetto ðŸ¤
Bila mchuzi mpunga hauliki.Kila kitu ni Mpunga
Kama pilau linalikaBila mchuzi mpunga hauliki.
Lazima liwe mixed with others ingredients.Kama pilau linalika
Hizo ingredients huzipati bila mpungaLazima liwe mixed with others ingredients.
Kumbe hukunielewa.Hizo ingredients huzipati bila mpunga
Kwamba?Kumbe hukunielewa.
Niliposema mpunga hauliki bila mchuzi nilimaanisha kua,kuna vitu vya ziada nje ya kuamini kua hela ndio kila kitu,Kwamba?
Hii rule inakuhusu wewe au binadamu wote?pesa inaleta happiness ila haileti joy.
mwanadamu timamu anahitaji joy sio happiness
tenga muda wako kujua tofauti ya hayo maneno mawili.Hii rule inakuhusu wewe au binadamu wote?
Najua tofauti na ndio maana nakuuliza ni opinion yako au ndio rule?tenga muda wako kujua tofauti ya hayo maneno mawili.
kama utakuwa na maswali ya ziada
unakaribishwa
hilo swali halitakiwi kuulizwa na mtu anayejua tofauti ya hayo maneno.Najua tofauti na ndio maana nakuuliza ni opinion yako au ndio rule?
Babu yenu nimeishiwa pawa tayari 😅🙌Hebu tulia mzee..
Unaishiwaje pawa na pawa mabula niko hapa!ðŸ¤Babu yenu nimeishiwa pawa tayari 😅🙌