Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

Unaishiwaje pawa na pawa mabula niko hapa!🤭
Kwani siku hizi umebatizwa jina hilo mjukuu?

Kama you have that pawa, Mimi nani nikatae kujisogeza

Na hivi Wazee tulivyo wavivu, ni mwendo wa ikisimama panda 🏃🏃🏃
 
Kwani siku hizi umebatizwa jina hilo mjukuu?

Kama you have that pawa, Mimi nani nikatae kujisogeza

Na hivi Wazee tulivyo wavivu, ni mwendo wa ikisimama panda 🏃🏃🏃
Nishabatizwa mengi ila hili ndio my fav 🤣

Ndio ningeshangaa we tena!

Hahaha wajukuu wanao ufahamu mziki wake wanachekea zao chooni😀
 
Nishabatizwa mengi ila hili ndio my fav 🤣
Hahaha.......nilikuwa sijui, lakini majina ni mengi kwanini kukubali hilo la pawa mabula
Ndio ningeshangaa we tena!
Kuwa na huruma na Wazee 🤭
Hahaha wajukuu wanao ufahamu mziki wake wanachekea zao chooni😀
Hahaha.........ila umekuwa mkorofi sana wewe, kwamba jambo la ikisimama upande limekuwa gumu Mjukuu 🤪
 
Mkuu unajua ni ngumu sana kumuaminisha huu msemo mtu ambaye hana hela,
Masikini ndio huamini kua hela ndio kila kitu,

Hata hao wasio kua na hela,siku wakipata hela na wakazizowea,ndipo muda watakaogundua kua hela sio kila kitu,kuna vitu vya ziada behind money.

MONEY IS NOT EVERYTHING
Ukitaka kujua kuwa money is everything we mwenyewe unabeba box mambele( unaosha vizee) jokes mkuu😂😂😂🤣🤣
 
Hahaha.......nilikuwa sijui, lakini majina ni mengi kwanini kukubali hilo la pawa mabula

Kuwa na huruma na Wazee 🤭

Hahaha.........ila umekuwa mkorofi sana wewe, kwamba jambo la ikisimama upande limekuwa gumu Mjukuu 🤪
Unawapa watu kile wanapenda kusikia!

hahaha hurum gani mzee peleka wajukuu hata hapo jirani zenji tu

mkorofije tena nisiseme ukweli!😆
 
Pesa inasadia kuleta furaha, LAKINI sio wakati wote na sio kila kitu.
1.Umepata vihela vyako unamwambia bebi wako anakuambia hataki kuolewa Kwa Sasa kumbe yupo na bodaboda, hapo unemnunulia vizawadi vya gharama.
2 una Pesa za kutosha LAKINI umepigwa marufuku kutumia vyakula vya sukari sijui chumvi, yaani afya mgogoro.
3.Hii Pesa iliwahi kunitesa sana mwaka fulani maeneo ya shinyanga vijijini kwenye project fulani Pesa tunazo LAKINI hakuna hoteli wala mgahawa au gesti. Shida kubwa ikawa maji yakunywa hayapo kwa maduka yao. Mifukoni tuna hela lakini huduma hakuna mpaka tunamaliza ile project tulijifunza kuishi kama wanavyoishi wao. Kushea maji na wanyama
4. Pesa inafaa sana ikutembelee wakati ukiwa timamu kimwili na kiakili yaani huna stres una furaha vitu vinapatikana nk. Ni maoni TU.
Hiyo namba moja, hivi una hela mapenzi yakutese? Hataki kuolewa tupa kule chukua chombo kipya!...money talk bana!
 
Ila kwenye huu mtandao ni kwenda nao taratibu mjukuu, sio vibaya kupotezea baadhi ya mambo

Kuna wakati niliwahi kuzushiwa nimetoka na Wajukuu kadhaa humu, lakini ukweli hata mmoja sijabahatika

Babu yenu mwenyewe hata meno ya kula hizo nyama sina

Na Wajukuu wenyewe tukiomba mtuletee Kiko hata hamtaki kabisa 🥲
Teh teh teh teeeeeeeeeeh!
 
Back
Top Bottom