Nimekosa kazi za kufanya nikasirikie wapumbavu! Bora nikatawqze kuku miguu🤣Hahaha.......ukionesha makasiriko utawapa watu faida kwamba wameshinda
Hujafika bei babu😆Tutaendaje wakati hawataki kuniletea Kiko babu yao 🤗
Huwezi kosa sio kwa hizo shobo😎Nia yako nikose kigori wa kunihudumia katika Uzee nilionao wewe 🤭
Huenda tunapishana tu humu, Mimi miaka 12 kwa ID hiiWewe sikufahamu ila yeye nipo naye group moja la watsap.
Hana huo uzee wa kutaka kuitwa babu.
Mimi namfahamu yeye.Huenda tunapishana tu humu, Mimi miaka 12 kwa ID hii
Kumbe mnafahamiana nje ya JF
Jamaa amepotea sana humu jamvini, nikahisi labda amebanwa na majukumu
Siku hizi una maneno balaa, kwahiyo kutawaza kuku miguu ndiyo kufanyaje mjukuuNimekosa kazi za kufanya nikasirikie wapumbavu! Bora nikatawqze kuku miguu🤣
Ni vile wajukuu hamna huruma na wazee tuHujafika bei babu😆
We endelea tu, nikikosa kigori wa kunisitiri itabidi zile fuso mbili uzipokee tu 🤭Huwezi kosa sio kwa hizo shobo😎
Okay, wengi hawapendi kufahamiana nje ya JF kutokana na mlengo wa hali ya Nchi yetu, unaweza kutoa maoni Kisha watu wakakuuzaMimi namfahamu yeye.
Sina uhakika kama yeye ananifahamu mimi.
Ndio kazi ya kanisa!😆Siku hizi una maneno balaa, kwahiyo kutawaza kuku miguu ndiyo kufanyaje mjukuu
Wanakuhurumia sana nyoosha maelezo tuNi vile wajukuu hamna huruma na wazee tu
Fuso wapokee wengine adhabu uwe kwangu😁We endelea tu, nikikosa kigori wa kunisitiri itabidi zile fuso mbili uzipokee tu 🤭
Hata hao members wa Jf ninaowafahamu, nawafahamu kwa kuona picha zao watsap. Huwa sipendelei kuonana na watu wa humu bila sababu za msingiOkay, wengi hawapendi kufahamiana nje ya JF kutokana na mlengo wa hali ya Nchi yetu, unaweza kutoa maoni Kisha watu wakakuuza
Hivi zile part za miaka ile hapa JF ulikuwa ukishiriki?
Zile zilifanya members wengi kufahamiana, ila baadaye wengi waliamua kubadiri IDs
Kifua sina jirani, harakisha kabla sijaharibu mambo.Sasa jitahidi kunitunzia Siri wakati Wakala akiendelea kurekebisha mitambo 🤭🏃🏃
Hilo ni muhimu sana kuzingatia, vinginevyo unaweza usiwe huru kuchangia mijadala kwa kuwahofia waoHata hao members wa Jf ninaowafahamu, nawafahamu kwa kuona picha zao watsap. Huwa sipendelei kuonana na watu wa humu bila sababu za msingi
Mimi nimekuwa mwoga sana kufahamiana na wadau nje ya JF, wakikosa vifua wanaweza kuleta habari za kujuana humuKuna jamaa mmoja ilitokea tukakutana kwenye sherehe na Ni wadada wawili tu nimewahi kukutana nao ana kwa ana. Mmoja nilikutana kwenye mizinguko ya mjini, mwingine nilijukuta tumepata kibarua sehemu moja.
Hahaha........kweli wa kunifanyia hivyo jirani, tumetoka mbali jirani 🤪Kifua sina jirani, harakisha kabla sijaharibu mambo.
Aaah we wapi!!Hahaha........kweli wa kunifanyia hivyo jirani, tumetoka mbali jirani 🤪
Umasikini unaleta niniPesa haileti furaha.
Hiyo ni misemo ya kujifariji tu!!!!
Kweli Wazee hatuna wa kutupenda 🤭Aaah we wapi!!
Laana zisizo na sababuUmasikini unaleta nini
Babu hiyo mibibi michizi uwe unaigonga itulie iache nyege naona kila uzi kuongelea ujinga..!!Kweli Wazee hatuna wa kutupenda 🤭
Kwa kweli Mimi binafsi jf ni sehemu ya ku practice part ya uchizi niliyonayo, hivyo sipendi kukutana na watu wanaonifahamu nikiwa very serious.Hilo ni muhimu sana kuzingatia, vinginevyo unaweza usiwe huru kuchangia mijadala kwa kuwahofia wao
Mimi nimekuwa mwoga sana kufahamiana na wadau nje ya JF, wakikosa vifua wanaweza kuleta habari za kujuana humu
Anonymity ni muhimu sanaKwa kweli Mimi binafsi jf ni sehemu ya ku practice part ya uchizi niliyonayo, hivyo sipendi kukutana na watu wanaonifahamu nikiwa very serious.
Au wametengeneza ma parody yaoAnonymity ni muhimu sana
Unakuwa huru kuchangia mada tofauti bila hofu
Akina Dr Slaa na akina Nape tulikuwa nao humu, kutokana na upepo wa Siasa kubadirika waliamua kutelekeza 🆔 zao na kuondoka
Nahisi saivi watakuwa wanasoma kimya kimya