Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Kesho nachanga laki moja
 
Watanzania tuna shida sana, tunamchangia kwani sasa hivi anatumia gari gani? Huyu ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA anatumia gari la ofisi.
Akishinda ubunge atanunua jingine, akiwa rais ndio kabisa atakuwa nayo ya kutosha kwanini tunachanga ghafla hivi, kaomba gari au ni huruma ya watanzania tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…