Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Kwani umelazimishwa? mbona juzi mmechanga form ya uRais na hulalamiki?
 
Huu ndo upumbavu wa Watanzania, tuna matatizo kibaaao lkn hatuchangi pesa kuyatatua halafu tunakwenda kumchangia mwenye nacho.
 
Nam
Hatari sana, inamaana CDM wameshindwa kuwa na gari au utaratibu wa kupata gari za viongozi mpaka oyaoya ya michango ya wanachama?

Sidhani kama tuko serious.
Pia najiuliza ina maana SSH ameshindwa kabisa kupata ml 1 ya kuchukua fomu hapo mwakani mpaka walimu wamchangie?
Tupo serious kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…