Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Kwani ukilea Kuna shida gani? Kwa kuwa unajitafitia matatizo endelea kuteseka.
 
Mwehu akishiba ugali hutoa ushuzi mdomoi badala ya maneno yenye tija... umeshiba ugali mkuu. Tulia usiropoke ropoke
 
Aliyeleta taharuki ni huyo bibi wa mtoto. Ila wazazi wengine sijui wakojee, wanapenda kuvuruga amani ktk ndoa za wanao, hasa wa mama lol.
 
Kitanda hakizai haramu
 
Hata hio hali iliwahi kunifika ila kadri siku ziendavyo kila mtu anaemuona mtoto wangu anadai mama ake hajapata kitu 🤣🤣🤣 ni mimi mtupu hatimae nikapata amani sasa.

Maana mwanzo mtoto alikuwa na mwanya nikawa sielewi elewi inakuwaje na midole kama virungu vya bendi 😀 nikahisi vitu vya ajabu. Sahizi nataka nikampime damu kimya kimya bila mamaake kujua.
 
Mzee rangi katika genetics ni complex Sana. Hapo unatakiwa uangalie features zingine kwenye mwili wa mtoto wako kama mnafanana. Mtoto anarithi 50% kutoka kwako na wewe umerithi 50%-50% kutoka kwa wazee wako na wao hivyo hivyo. Pia katika process ya ukuaji wa mtoto tumboni genes hujielezea tofauti. Vitu mfano nywele na ngozi sio process simple kama vile kutengeneza damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biology ya wapi mtoto arithi tena 60% kutoka kwa babu yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…