Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Hey! The Muzee, kitanda haizai haramu, chutama chini Muachie Mungu. Solutions
1 & only mtoto Kesha kua huyo chapa wa pili na watatu fasta ili apate adabu na kumkep bize, you will enjoy
 
Pole sana Dr,nashida na tatizo la nyongo kujaa nifanyeje nilimalize asee
 
Ni mtihani mgumu sana kuhudumia bao la mwanaume mwenzako,
Wanawake watatumaliza
 
Mkuu upo Mbeya wilaya moja mpakani?
Umetaja kama kitu ninachokijua vile.
 
Chochote kilichopatikana kwenye marital home ni cha kwako.

Hivi mtu ukilima shamba halafu mwehu akaja kupalilia shamba hilo litakuwa lake ?

Stress zingine mnajitafutia tu kwa makusudi.
 
Wazee wa zamani walikuwa wanazalishiwa wake zao na wanajua kuwa mtoto siyo wao lakini wanalea tu happily sasa wewe unataka kujitia umaskini na stress kwa jambo linalovumilika.

Au haukumuoa kwa ndoa huyo mke ?
 
Umejiunga jamii forums tarehe 11 April 2023. Lkn una post 1538. Kwa vyovyote hii itakuwa chai. Nilipotaka nichangie nikaamua kupitia kwanza profile yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Imebidi nikoment.... Eti virungu vya bendi... Una nini lakini [emoji1787][emoji1787]
 
Natafuta njia ya kumwambia tukapime niwe na uhakika
Usimwambie. Tfta namna uende wewe na mtt Ili hata ikionekana ni wako basi yy asipate kuumia kihisia. Tofaut na mwende wote halaf ikaonekane ni wako aisee utakua umemuumiza pakubwa sana na sasa ataona ngoja tu ai supply na huko nje kidogo ili kupata different appetite
 
Hahaha duuh balaa sasa hii
 
Tanzania ukipima DNA mtoto ni wako tu hata kama sio wako! Pole kwa unayopitia
 
Upuuzi huu. Ni mwamaume asiye kuwa na akili anayeweza kule mtoto sio wake bila hiyari yake.
 
Chochote kilichopatikana kwenye marital home ni cha kwako.

Hivi mtu ukilima shamba halafu mwehu akaja kupalilia shamba hilo litakuwa lake ?

Stress zingine mnajitafutia tu kwa makusudi.
Upuuzi huu
 
Bado amani haijakurejea😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…