nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
Sasa umeongea kwa akili, naona zimekurudi bila wewe kujua.Chuki hazitakuongezea mlo hapo mezani kwako! Chapa kazi, hivyo vitu hata vingekuja kujengwa uwanjani kwako bado ungendelea kuwa masikini kama hujui kutumia fursa.
Kwa iyo hoteli zake alizojenga chato ni za wananchi???Wewe ulitaka vikakae sehemu gani?
Yani unataka kwa vile rais anatoka huko basi asipeleke chochote ila kubaki tu kutupu maana akipeleka nyie mtasema anajipendelea?
Huyo Nyerere unaemsema yeye alikataa hata kujengewa nyumba, sasa unataka hadi leo watu waendelee kuishi kwenye akili na fikra hizohizo?
Na je hivyo vitu vya chato vunaingia mfukoni mwa rais au kwa wananchi wa eneo hilo?
Usipojenga kwenu unakuwa muadilifu? Hizo fikra zenu za enzi za Nyerere zilishapitwa na wakati.
Nyerere anasehemu zake za kumuiga siyo hiyo ya kukataa kujenga kwenu eti kisa utaonekena unaoendelea kwenu.
Watu wa Lumumba unadhani hawajui ukweli?? Wanajitoa ufahamu tu ili mkono uende kinywani 😀Sasa umeongea kwa akili, naona zimekurudi bila wewe kujua.
Kwahiyo jamaa anajua kutumia fulsa siyo?
Keki ya taifa iliwe na wote,Kama angejenga iringa watu wasingesema Wala kulalamikaMbona wewe kila siku unahoji humu na hupotei?
Alafu mnapomkosoa Magu mkosoeni kwa fact siyo kwa soga tu za vijiweni kwenu huko.
Mmekomaa tu eti Chato, kwani chato yanakaa mawe? Si watu?
Mfano hivyo alivyojenga huko angeenda kujenga kule kwetu Iringa ina maana hadi moshi wangefaidi ila akijenga chato watu wa moshi hawatafaidi maana chato yanakaa mawe!
Ujinga tu
Ukiona watu hawahoji ujue hawaoni cha kuhoji.Ninahoji huku vichochoroni na sio hadharani. Hiki ninachohoji nikihoji kwenye redio au TV itakuwa habari nyingine.
Hizo facts ndio hizo unapewa hapa unaishia kutoa povu. Na tumekupa mfano wa Nyerere ambaye ni rais muadilifu, na aliyejua namna ya kujenga nchi bila dalili zozote za upendeleo wa atokako. Hakuna anayekataa miradi kadhaa kwenda Chato, ila sio kwa kiwango hicho, hasa kwa mtu anayetaka tuamini kuwa ni mzalendo. Kipimo cha rais mzalendo nchi hii ni Nyerere, je kuna ufanano kwa hiki kinachoendelea?
Leo hii wanamcheka Nyerere na familia yake vibaya kuwa hakuwaza kuwa kuna maisha baada ya uongozi ndo mana familia yake hawaonekani kwenye ramani za biashara au siasa nchiniBoss tunaona, usidhani hatuna uwezo wa kuona haya yanayoendelea. Nyerere alikaa madarakani miaka 24, mbona hivi vitu vilivyoko Chato sasa, havikuwa Butiama?
Kwamba Iringa ndio kuna watu ila chato kuna mawe.Keki ya taifa iliwe na wote,Kama angejenga iringa watu wasingesema Wala kulalamika
Nmekwambia kutelekeza kwenu kisa kuogopa kuambiwa unajipendelea ni ujinga.Uadilifu wa Nyerere ulionekana kwa vitendo na sio kwa maneno. Uadilifu una wakati mpaka useme umepitwa na wakati?
Magufuli kujenga hotel ni kosa?Kwa iyo hoteli zake alizojenga chato ni za wananchi???
Mgawanyo wa keki au hujaelewa?Kwamba Iringa ndio kuna watu ila chato kuna mawe.
Kwani tumepata uhuru jana?Mzee Kodi huwa haina direct impact kwamba ukilipa hapo hapo upate unachotaka haipo hivyo, ni lazima kwenda na vipaumbele vya Taifa kwa mfano tunahitaji sana umeme unajenga Stiglers kuongeza ufuaji wa umeme,tunahitaji huduma za afya unajenga vituo vya afya kila kata.
Then lini unaibuka Brussels kumpa Mzee wako gwala?
Fursa ipi sasa?Sasa umeongea kwa akili, naona zimekurudi bila wewe kujua.
Kwahiyo jamaa anajua kutumia fulsa siyo?
Kwani mahitaji wakati wa uhuru na sasa yanafanana?Kwani tumepata uhuru jana?
Taratibu mtaelewa tuMagufuli kujenga hotel ni kosa?
Hatakiwa kujiwekea kitegauchumi chochote?
Kakiuka sheria gani kujenga hotel?
Kwanini usihoji miradi kama ya reli na babara za juu zinazoendelea kujengwa dar? Je hizo zinapita miko yote kwa sasa?Mgawanyo wa keki au hujaelewa?
Iringa umetoa mfano tu lakini ipo mikoa yenye fulsa nyingi lakini hakuna kuendelezwa kwanini chato?
Alaa unatoka na kuingia Kama Kobe!!!!Fursa ipi sasa?
Nmekuuliza hayo aliyofanya yatakuwa yanaingia mfukoni mwake?
Kwamba vile vitu vina umiliki wa Magufuli na hata akitoka madarakani vinakuwa mali yake na si selikili? Una ushahidi wowote kuhusu hilo?
Kwanini usijibu hayo maswali?Taratibu mtaelewa tu
Nmekuliza hayo aliyofanya magufuli huko chato ni ya kwake?Alaa unatoka na kuingia Kama Kobe!!!!
Nijibu nini wakati mlichoambiwa mlipinga na Sasa mnauliza maswali ambayo majibu yapo?Kwanini usijibu hayo maswali?