Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kaka nashukuru kwa ushaur wako na kunitia moyo kiukweli nmesoma kwa makini sana huu ushaur wako nna iman nikimpata kijiwe kizur nitanufaika na huu ushaur

Hapo juu mmeandika naishi dar.

Na kuhusu kuishi mie sijapanga naishi na best angu ila natarajia nitapanga baada ya kunufaika na hicho kibiashara

Na kuhusu ufugaji WA kuku haitowezekana maana sina eneo
Tena akiwepo tabora akaeka kijiwe cha ukwel cha chips atapata hela vizur tu
 
Ungeweza pia kusaka mada humu za waliouliza kabla utaweza kupata idea nyingi, na kukupa mwanya wa kuzifikiria na kuamua ipi unaona inafaa. Pamoja na unazoandikiwa humu
 
Siku nyingine unapotaja kiwango cha elimu alichonacho mtu huwa hatutaji matokeo aliyopata hivyo sikuona mantiki ya wewe kutuambia kuwa huyo mtu elimu yake ni form 4,halafu tena umeongeza failure!!!Neno hilo wala haliendani na ujumbe uliotupatia!!
 
Kwanini mnataka mwenye kipato kisichozidi milioni moja?
 
Nahisi harufu ya UTAPELI hapa...
Ngoja nipite KUSHOTO..!!!
Asante kwa kuwa nahisia kali namna hiyo unaelekea kuwa kabisa mjukuu wa shekh Yahya Husein endelea na kuamini ktk utabiri lakini kwa ushauri tu kama huna la msingi la kukomenti bora ukae kimya tu.
 
Asante kwa kuwa nahisia kali namna hiyo unaelekea kuwa kabisa mjukuu wa shekh Yahya Husein endelea na kuamini ktk utabiri lakini kwa ushauri tu kama huna la msingi la kukomenti bora ukae kimya tu.
Critics are both negative and positive. Usikasirike mkuu. Ikiwa mwanzo tu kwenye majadiliano unakua mkali zikishakusanywa pesa si utakua mungu mtu? Am just saying. KIPIMO hiki.
 
Critics are both negative and positive. Usikasirike mkuu. Ikiwa mwanzo tu kwenye majadiliano unakua mkali zikishakusanywa pesa si utakua mungu mtu? Am just saying. KIPIMO hiki.
Ahsante nimekuelewa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…