Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Hivi hakuna vikundi au vikampuni vidogo vya kitanzania ktk mataifa hayo, waaminifu, ambao watanzania tunaweza kuwatumia kama middlemen kati ya hao masupliers na siye? Ingekuwa poa sana hapo. Hata mtu akienda huko kwa mara ya kwanza wampokee wao na kumrahisishia yote huko, ukiwepo na la lugha.
 
habari wa wana jamii
naomba kujuzwa nianze biashara gani na mahali gani ambapo ntaweza kupata riziki ya kila siku
mtaji:100000
 
habari wa wana jamii
naomba kujuzwa nianze biashara gani na mahali gani ambapo ntaweza kupata riziki ya kila siku
mtaji:100000
Fungua genge, kachukue vitu kama nyanya, vitunguu, nyanya chungu kule nyandila, mlali na mkuyuni. Ila Itabidi ujenge kibanda cha mbao
 
Wakuu habari natarajia kwenda DSM hivi karibuni kuhangaikia biashara. Je kwa mtaji wa laki moja nikafanye biashara gani ndio itanilipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…