MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
How?Only FOREX can give that amount per month
Anataka kumchukulia na hicho kidogo kiujanjaUkamdhurumu kijana mwenzio
Kuna mtu mpaya aliye faidika na hyo forex kama sio kumdanganya kijana Mdogo.... Forex mwenyewe mtoa maada inamchapa huwezi kula kila siku kama kamali tuu kuna kuliwa na kulaKwa huu uchumi wa sasa forex is the only choice.... Tafuta nyuzi za ontario humu ziko kama tatu hivi pitia utapata mwanga...
Kwakweli msaada hamna hapoDaaa.....bado cjaona km jamaa kapewa msaada
forexHabari wadau wa JF nipeni ushauri mana vyuma vimekaza mtaan. Nina laki 3 nataka kufanya biashara ambayo kwa mwezi itakuwa na return ya million moja. Nipo Moro kwa sasa ila nafanya biashara popote..
Afate tu anachokiamini kwa kweli ambacho kitampa amani ya moyo kama ataona forex upatu itampa hio return basi afanye ila asishtuke tu pesa ikiliwa kwenye hayo maforexDaaa.....bado cjaona km jamaa kapewa msaada
yani niliona kuna watu wanasema hawakuweza kutred vizuri wakati wanaanza na wengine wakaliwa hadi mishahara yao ya mwezi sasa jamani tupeni muongozo kwa sisi tunaopenda kufanya hii biashara na kama huyu mwenye laki 3 akipoteza sijui ataipata wapi kirahisi kwa hali hiiNipo hapa napitia pitia labda ntapata chochote... Ila forex sio rahisi kiivyo na wanao fanikiwa inakuaga hadithi.. Ila nnao wafahamu ni mwendo wa kula hasara... Tena we mgeni ata demo hujui
Nipo nafuatilia biashara hzo