Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kodi shamba ekari moja lima nyanya.kwa kuwa upo Morogoro naimani hayo malengo yako yatatimia.kaza msuli jipinde, Mwanaume anasifiwa kazi na sio kula tu
 
Nipo hapa napitia pitia labda ntapata chochote... Ila forex sio rahisi kiivyo na wanao fanikiwa inakuaga hadithi.. Ila nnao wafahamu ni mwendo wa kula hasara... Tena we mgeni ata demo hujui

Nipo nafuatilia biashara hzo
 
Kwa huu uchumi wa sasa forex is the only choice.... Tafuta nyuzi za ontario humu ziko kama tatu hivi pitia utapata mwanga...
Kuna mtu mpaya aliye faidika na hyo forex kama sio kumdanganya kijana Mdogo.... Forex mwenyewe mtoa maada inamchapa huwezi kula kila siku kama kamali tuu kuna kuliwa na kula
 
Habari wadau wa JF nipeni ushauri mana vyuma vimekaza mtaan. Nina laki 3 nataka kufanya biashara ambayo kwa mwezi itakuwa na return ya million moja. Nipo Moro kwa sasa ila nafanya biashara popote..
forex
 
Nipo hapa napitia pitia labda ntapata chochote... Ila forex sio rahisi kiivyo na wanao fanikiwa inakuaga hadithi.. Ila nnao wafahamu ni mwendo wa kula hasara... Tena we mgeni ata demo hujui

Nipo nafuatilia biashara hzo
yani niliona kuna watu wanasema hawakuweza kutred vizuri wakati wanaanza na wengine wakaliwa hadi mishahara yao ya mwezi sasa jamani tupeni muongozo kwa sisi tunaopenda kufanya hii biashara na kama huyu mwenye laki 3 akipoteza sijui ataipata wapi kirahisi kwa hali hii
 
Back
Top Bottom