Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Tafuta hotel au bar kubwa yenye watu wengi, tafuta sanduku la vioo kama la chips, Meza yenye kichanja kwa chini kubwa na kiti.

Uza matunda kwenye sahani mchanganyiko, Ukipata fridge mlango transparent itapendeza.

Sahan unauza 1500.
Zingatia usafi
 
Hii ni aidia mzuri kama ukiwa serious na una spirit ya kutaka kufanikiwa tengeneza karanga za mayai sichini ya 500 then unaenda kuuza maeneo ya chuo hostel room adi room na maeneo yote ya chuo akikisha unamaliza kwa siku moja au siku mbili zimeisha uzuri wa karanga izi zinatabia ya kumlevya mtu nakutamani azile tena na tena hivyo utakuwa soko linajitengeneza lenyewe hii kitu nikitaka kuifanya ila tatizo muda unanibana
 
Wakuu,

Kwa wale wenye uelewa wa biashara za kukupa tija maana kwa sasa hali halisi kwa pesa ngumu tusaidiane kwa wale wenye nia ya kuanzisha biashara kwa sasa nawasilisha. Nb; mtaji wa laki 4-5
Ungefanya biashara ya kuni ...ila imepungua pesa ako ....ina faida kubwa sana hii biashara unahtaj ka lak 9 au milion
 
Ungefanya biashara ya kuni ...ila imepungua pesa ako ....ina faida kubwa sana hii biashara unahtaj ka lak 9 au milion
Mueleweshe vizuri huenda akaongeza ata kwa kukopa. Wapi atoe hizo kuni, usafiri, apeleke wapi na gharama nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…