Mkuu inaonekana zambia kunalipa sanaNenda kachague vinguo vya mtumba vya kike then kauze mtaani kwa kutembeza then mtaji ukikua anza kupeleka zambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inaonekana zambia kunalipa sanaNenda kachague vinguo vya mtumba vya kike then kauze mtaani kwa kutembeza then mtaji ukikua anza kupeleka zambia
Mdogo wangu nimempeleka kule anapiga hela kwa mtaji wa sh laki 6 tuMkuu inaonekana zambia kunalipa sana
Me nataka nijilipue kule nipe muongozo na mm mkuuPasipoti chukua ile ndogo tu
Pm aje kufanya nini???Njoo pm mkuu
kuna namna hapaNjoo pm mkuu
Mambo vipi nipe mchapo Nina laki NNE na Mimi nataka kufanya biasharaNjoo pm mkuu
Ungefanya biashara ya kuni ...ila imepungua pesa ako ....ina faida kubwa sana hii biashara unahtaj ka lak 9 au milionWakuu,
Kwa wale wenye uelewa wa biashara za kukupa tija maana kwa sasa hali halisi kwa pesa ngumu tusaidiane kwa wale wenye nia ya kuanzisha biashara kwa sasa nawasilisha. Nb; mtaji wa laki 4-5
Mueleweshe vizuri huenda akaongeza ata kwa kukopa. Wapi atoe hizo kuni, usafiri, apeleke wapi na gharama nyingineUngefanya biashara ya kuni ...ila imepungua pesa ako ....ina faida kubwa sana hii biashara unahtaj ka lak 9 au milion
Biashara ya kuni inafanyikaje hebu dadavua kidogo mkuuUngefanya biashara ya kuni ...ila imepungua pesa ako ....ina faida kubwa sana hii biashara unahtaj ka lak 9 au milion