October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa na idea nzuri ya biashara kwa Dodoma mtaji haufiki ata laki moja lakini sasa Mimi mwenyewe nataka nifanye pia utanipiku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni kijana , nina elimu ya kidato cha 4, nina mtaji wa laki 3.napenda kuushi dodoma, naomba msaada wa fursa na wazo la biashara kwa hapo dodoma kulingana na kamtaji kangu.
Wapi Husninyo, muda sasa sijakusikia.Uza bites..
Nunua machungwa mashambani peleka darWadau Mimi naomba mawazo yenu nipo Tanga njiapanda ya Segera je naweza kufanya biashara gani ktk eneo kama hili?
utaniskia siku si nyingi, ila nipo na afya njemaWapi Husninyo, muda sasa sijakusikia.
afadhari, nilijua wasiojulikana wamefanya yao.utaniskia siku si nyingi, ila nipo na afya njema
hahahhaha, kwa lipi haswa hata kuongea siwezi. hawana sababuafadhari, nilijua wasiojulikana wamefanya yao.
basi nyie mabubu ndio mnatakiwa sana na wasio julikana !!!!!!hahahhaha, kwa lipi haswa hata kuongea siwezi. hawana sababu
mmmh, ila maisha haya ukiwa bubu utatakwa ukiongea utatakwa.... Bora nianze kuongea tubasi nyie mabubu ndio mnatakiwa sana na wasio julikana !!!!!!
Ongea. usipo ongea sasa hivi, kaburini utaongea na nani?mmmh, ila maisha haya ukiwa bubu utatakwa ukiongea utatakwa.... Bora nianze kuongea tu
Idea nzr lkn kwa vijana wap hawa wanaotaka kukaa kwny viti waznguke na simu kubwaaaa, yan nmependa xna idea yko lkn tatzo lipo kwa hao watu wakuwaweka site ndio ishu.# Genuine ideaFungua shoe shine,waweke vijana kama wa5 sehemu tofauti tofauti mjini au kwenye car wash kubwa kubwa au hata kwenye vituo mbalimbali ambapo movement ya watu IPO,..wakikuletea hesabu kwa kila siku itapendeza zaidi.
Ndio unisaidie biashara ipi ndg? Na mm pia nataka biashara ndgo tu yeny kuingiza haraka haraka kwa wingi hta kama ni kidgo bt income inasoma ndio natafuta hyo business.kwa mtaji huo unahitaji umakini ni vizuri ukibana matumizi fanya biashara ambayo inaleta mzunguko wa haraka ata kama faida kidogo ukitaka faida kubwa biashara itakuwa haitoki haraka hivyo utakula mtaji pandisha mtaji hadi 2M afu then unawekeza kwenye kitu kingine kuongeza mapato
Nawasubiri aisee wataalamNgoja waje
Nifafanulie hapo mkubwa nikuelew vzr aisee maana nliwahi kufikiria lkn sio kwa mtaj hyo naona ni mdgoFanya biashara ya nafaka mzee
AsanteTafta ujasiriamali wa kuajiri mtu mmoja na kaz ikaenda vizur inayotumia mtaji kitadogo faida kubwa, ambayo ni rahisi kuisimamia na kuikagua