Xna ni nini mkuu,Idea nzr lkn kwa vijana wap hawa wanaotaka kukaa kwny viti waznguke na simu kubwaaaa, yan nmependa xna idea yko lkn tatzo lipo kwa hao watu wakuwaweka site ndio ishu.# Genuine idea
Naomba unambie kiwanda kinachochongesha mashine za kukamulia miwa..! Nahitaji sana mkuu..!1.Nunua mashine y popcorn unakua unaziandaa nyingi then unawapa vijana kwa kuhesabiana wanaenda kuzungusha kwenye maeneo y watu hasa stand(hapa itategemea upo wapi) wanakua wanakuletea hela then mnalipana kulingan n makubaliano yenu
2.uza vitunguu kW namna ile ile unakua unafunga kwenye karatas kW mafungu ya 500 kW mfano then tafuta nyungo wape vijana wazungushe bidhaa ungo mmja waweza beba mafungu mengi sana( hii pia itategemea unaishi wap)
3. Nenda kiwandani ukachonge mashine y kusaga juice y miwa haizid laki sita (ukichonga kiwandani maan inakua locally) then ajiri kijana ..hakikisha biashara yako IPO maeneo y watu ,nunua mabonge y barafu yanasaidia kuipa ubarid maan mtaji bado mdogo
4. Nunua machine ya umeme ya kusaga karanga haizid laki 4 then weka MTU w kusaga karanga ( namaanisha zinasagwa zinakua laini kuwekwa kwenye mboga) hii ni kwa baadhi y maeneo hasa kanda ya ziwa
Fanya mawasiliano n wafanyakaz w sido ili usipigwe bei .kam utahitaj namba uje PM... Ila mie sio mhuni mkuu usje hisi utapeli[emoji3] ...nkikupa namba tumia mbinu zako z kiintelijensia ili usiibiweNaomba unambie kiwanda kinachochongesha mashine za kukamulia miwa..! Nahitaji sana mkuu..!
Poa mkuuFanya mawasiliano n wafanyakaz w sido ili usipigwe bei .kam utahitaj namba uje PM... Ila mie sio mhuni mkuu usje hisi utapeli[emoji3] ...nkikupa namba tumia mbinu zako z kiintelijensia ili usiibiwe
Wazo la biashara lazima litokane na wewe kwa kuangalia Passion yako.Mimi nina mtaji wa Laki name(800,000/=Tsh) naomba nipewe msaada nifanye biashara gani simple sana ambayo haitakuw inachukuwa muda wangu kuanzia asbh mpaka saa kumi jion hivi baada ya hapo ndio nakuwa free. Tafadhali npo serias sana kwny hili maisha ni magumu hya bila kutuliza akili unaweza kuolewa aisee. Msaada kwa hilo.!!
Maisha yamebadilika kama wanasubiri kupigwa kipupe watautwanga mbichi...[emoji124][emoji124][emoji124]Idea nzr lkn kwa vijana wap hawa wanaotaka kukaa kwny viti waznguke na simu kubwaaaa, yan nmependa xna idea yko lkn tatzo lipo kwa hao watu wakuwaweka site ndio ishu.# Genuine idea
Kuhusu vijana wakukufanyia hiyo kazi huwezi kosa kama muhusika ni MTU wa kujichanganya na watu,.wapo vijana wataka kufanya kazi kama hiyo ili apate angalau kipato cha siku tuu..cha muhimu ni kujitoa na kuwa mwaminifu.Maisha yamebadilika kama wanasubiri kupigwa kipupe watautwanga mbichi...[emoji124][emoji124][emoji124]
<br />
<br />
kuna mangi mmoja alikuwa anauza genge sahv ana boutique.
Ingekuwa vizuri kama utatuhakikishia kuwa hakuwa na bishara nyingine kwa sababu hujatoa muda aliokaa ktk biashara ya genge lake.
Kama upo geita si ukanunue mawe ya dhahabu kwenye machimbo wanauza mfuko 25,000 hadi 50,000 ukiuprocess huko mfuko itaongezeka kama elfu kumi tu then ukipata gram 1 ya dhahabu unaiuza 86,000 faida kiasi gani kwa siku ? Zaidi ya 25,000 ukitoa na pesa ya kula mchana. Amka huo mtaji mkubwa sana ukiwa geita.nashukuru kwa ushauri wako ndugu yangu,by nw npo geita na ndio nataka kuizungusha hii pesa.
Habari zenu wapendwa. Naitwa paresh napatikana dodoma naomben msaada wa mawazo kwa mtaji wa Tsh. laki tano niufanyie biashara gani ili niweze kujipatia faida itakayonisaidia kuingia japo amount ndogo ya kujikim na mahitaj ya nyumban
naomba kama ungeweza kunifafanulia hapo ili niweze kuielewa hiyo biashara inakuaje kuajeBIASHARA YA CHAKULA INALIPA SANA
NAMAANISHA UUZAJI WA CHAKULA BABA/MAMA LISHE MKUUnaomba kama ungeweza kunifafanulia hapo ili niweze kuielewa hiyo biashara inakuaje kuaje
woow ok asante sana nduguNAMAANISHA UUZAJI WA CHAKULA BABA/MAMA LISHE MKUU
POAAAAAAwoow ok asante sana ndugu