ndio mkuu ni kila week mbili unavuna.Hii Imetulia kaka ni wazo zuri ukizingatia naskia mboga mboga kuanzia week mbili Neema inaanza unaweza anza Vuna kama bustani itaenda vizur.
mbegu ya mchicha, (inafikia 10k+ nafikiri kwa kg1), msusa (maboga)Samahani troubomeka!umeandika mbegu 40000! Ni mbegu gan hizo za mboga mboga!?
Ohh mie mara ya mwisho nililinunua 8000 kilo ya mchicha! ...kweli!mbegu ya mchicha, msusa (maboga)
Matembele anaweza pata bure tu kwa wakulima wengine hasa wale ambao wanang'oa yale matuta yaliochoka.
Inaenda kabisa. hii unatega sehem ambayo ina walengwa unatoka. Mfano hata wale wanapiga vyombo (watumiaji wa vilevi)Mie ningeanza kupika supu ya kongoro na chapati😋!
😀😀 we nae hustler mpaka huku ushapita.Ohh mie mara ya mwisho nililinunua 8000 kilo ya mchicha! ...kweli!
😀😀 we nae hustler mpaka huku ushapita.
Kilo dar inafikaga mpaka 12000.
Hapo nimepigia apate kilo mbili labda za mchicha na kg 2 za maboga.
Tuseme mchicha alime matuta 4, matemble matuta 4. Maboga nayo matuta 2 au 4.
pia hiyo hela waweza nunua mbuzi mzima ukamchemsha soup, soup ya mbuzi huuzwa 2000. Unatega sehemu nzuri unauza wakati wa kuanzia usiku.Inaenda kabisa. hii unatega sehem ambayo ina walengwa unatoka. Mfano hata wale wanapiga vyombo (watumiaji wa vilevi)
Inaenda kabisa. hii unatega sehem ambayo ina walengwa unatoka. Mfano hata wale wanapiga vyombo (watumiaji wa vilevi)
mimi ilikuwa 2011 kurudi nyuma.Nilianza na mchicha mkuu 2015!lakini ss hv hii biashara mhhh!
Imekuaje saivi hii biashara?Nilianza na mchicha mkuu 2015!lakini ss hv hii biashara mhhh!
yaani kama mbuzi kuna sehemu nakunywaga ikifika saa 3 tu usiku unakuta kamaliza au anamalizia malizia.Kweli!
Imekuaje saivi hii biashara?
1.Biashara ya Karanga za kukaanga/mbichi
2.biashara ya mama ntilie
3.biashara ya miwa
4.unaweza nunua baiskeli ukakodisha kijijini
5.unaweza chonga mkokoteni ukakodisha kwa saa 1,000/=.
6.unaweza nunua nguo ama viatu vya mtumba ukaenda kuuza mtaani kwa kutembeza
7.ukafungua genge simple lenye mazaga yote mtaani
8.unaweza tumia kama ada ya kujifunza skills flani,gereji,kushona viatu,computer
9.unaweza itumia kununua na kujenga banda la kuku,kanga kwa ajili ya ufugaji
10.unaweza limia heka mbili za ardhi ifakara kwa ajiri ya kilimo cha mpunga
11.unaweza agiza vitu online vya USD 0.5 ukaja kuviuza kwa USD 2.5
Acha wengine nao wajazie
NOTE:kuweza kufanya kitu hiyo pesa na utayari wa mfanyaji ni vitu viwili tofauti.
Hiyo laki 1 unaweza lipia lodge na huyo malaya asije au unaweza walipia pombe rafiki zako na nyumbani bado wakalala njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wangu Hapo kwenye Namba 9, haitoshi Laki1.Biashara ya Karanga za kukaanga/mbichi
2.biashara ya mama ntilie
3.biashara ya miwa
4.unaweza nunua baiskeli ukakodisha kijijini
5.unaweza chonga mkokoteni ukakodisha kwa saa 1,000/=.
6.unaweza nunua nguo ama viatu vya mtumba ukaenda kuuza mtaani kwa kutembeza
7.ukafungua genge simple lenye mazaga yote mtaani
8.unaweza tumia kama ada ya kujifunza skills flani,gereji,kushona viatu,computer
9.unaweza itumia kununua na kujenga banda la kuku,kanga kwa ajili ya ufugaji
10.unaweza limia heka mbili za ardhi ifakara kwa ajiri ya kilimo cha mpunga
11.unaweza agiza vitu online vya USD 0.5 ukaja kuviuza kwa USD 2.5
Acha wengine nao wajazie
NOTE:kuweza kufanya kitu hiyo pesa na utayari wa mfanyaji ni vitu viwili tofauti.
Hiyo laki 1 unaweza lipia lodge na huyo malaya asije au unaweza walipia pombe rafiki zako na nyumbani bado wakalala njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea nadhan kama utakua na mazingira ya kujenga banda la kiasili na mwenyew itakua nafuu unaingia gharama ya kununua kuku tu. Na baadhi ya Vifaa ipa kama utakua boss unawekeza tu laki yote pesa haitoshi.