Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?


Hapo juu kwenye 2012 ni type error, nimemaanisha 2002 maana najua kuna watu watakurupuka hapa wenye kushkiliwa akili na wavivu wa kufikiri wataanza maswali, 2012 form one halafu 2011 umemaliza chuo, kwahiyo ile ni 2002. Ni hayo tu
 
Mkuu kuna jamaa katoa mawazo safi sana ila naongezea...ice cream za vifuko kama mna friji kwenu au kwako,biashara ya kukaanga kuku na kuuza stendi jioni dili sana cku hizi,pweza jioni,chips sehemu yenye watu,mama lishe mtaa inalipa pia...cheki na za wengine pia halafu usione aibu kaka,haya ni maisha yako
 
Reactions: HMS

Gud message ushauri murua umesomeka bradha
 
Reactions: HMS
help me nna laki moja mkononi niifanyie biashara gani nataka niingize kwnye biashara..? nisaidieni la svyo haitamaliza masaa mawili.

Nenda Nayo Pale KIMBOKA Buguruni Usiku Wa Leo na Itapata Tu Mtaji au Matumizi Ya Uhakika. Ukishindwa Nenda LONGIDO au TARIME Kanunulie SIGARA ----- ( Bange / Bangi ) Na Utuletee Hapa Bongo Na Utapata Faida Sana Kwa Wadau Wake.
 

Mkuu Kote Nimekukubali Na Nakupongeza Sana Kwa Upeo Wako Mkubwa Na Hakika Umetusaidia Wengi Na Haswa Mimi ILA ktk SUALA LA KULAMBA MIGUU Ndiyo Nina Mashaka.

Je Mfano Hana Miguu AU Miguu Ina Ukoma AU Ukurutu Je TUENDELEE tu Kubusu Hivyo Hivyo? Patakuwa Na Usalama Wa Kiafya Kweli Hapo?
 
Reactions: HMS

Asante sana mzee kwa kunipongeza.

Na kuhusu swali lako, jaribu kuangalia kwa upeo mkubwa zaidi, mfano mtu anakwambia pale kuna mkono wa mtu pale, je kuna mkono wa mtu kiuhalisia au ina maana vingine? mfano mwingine mtu anaposema mkuu huu mguu wako, je ana maanisha mguu wake ni mguu wa yule jamaa au ana maanisha vingine? mifano ipo mingi sana.

Lengo linamaanisha umwangukie mama yako, umuoneshe unyenyekevu, mbusu kwenye paji la uso, kwenye mikono, kwenye mashavu, kokote kule, ila nimetumia miguu maana ndio sehemu pekee utakayoinama na kuonesha unyenyekevu kua upo chini yake.

Ila mkuu si bora uumwe na ww kutokana na kumbusu mamaako, au wataka kuumwa kutokana na ngono? mimi binafsi km ni kufa kutokana na kumbusu mamaangu ana ukurutu na na nife tu, nisipo kufa kwa ajili ya mamaangu nife kwa ajili ya nani, tena km daktari anasema kupona kwa mama miguu ni mtu ajitolee miguu yake basi mm ntajitolea niwe kilema ili mamaangu atembee, lkn najua mama hawezi kukubali kutokana na mapenzi yao ya kweli na ya dhati.

Mzee Kiswahili ulipiga ngapi Necta mkuu, au umepiga IST? au ISAMILO?

Mi nadhani ujumbe umefika, nashkuru mkuu.
 

well said mkuu!
 
Reactions: HMS
Mkuu ahsante kwa ushauri murua, lakin wengine tuna vipaji vya kuimba sana, tufanyaje sasa ili kupitia vipaji hivi tuweze kutoka kimaisha.?
 

Heshima yako mkuu HMS thats th best advice ever!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: HMS
Mkuu ahsante kwa ushauri murua, lakin wengine tuna vipaji vya kuimba sana, tufanyaje sasa ili kupitia vipaji hivi tuweze kutoka kimaisha.?

Kama unajua kutumia guitar na unajiamini sauti nzuri basi zunguka kwenye mahoteli tafuta ajira huku taratibu unaweka mistari ilio ya ukweli unatoa single unatoka, kama hauwezi kupiga guitar jifunze wkt huo huo tafuta sehem ya kukuingizia kipato cha kusukumia siku, (km hauna) cha msingi angalia dunia ilivo na utafakari jinsi ya kuweka mistari, jaribu siku moja nenda hata beach au kwenye mlima upo pekeako kaa chini angalia nature tafakari.

jJiulize wewe ni nani na unataka nini maishani, jiamini kwa dhati unaweza na hamna kinachoshindikana, fumba macho hlf wazia tu kua una familia inayokutegemea, una watoto mmoja anumwa anahitaji hela ya matibabu mwingne anahitaji hela ya shule, hapo hela ya kula hujatoa, mwenye nyumba anagonga mlango anataka kodi yake, mkeo ana mimba anahitaji kwenda leba, mama mzazi hajala siku mbili, halafu mdingi yupo mahututi, una wadogo zako 6 wote wadogo wanakutegemea wewe, halafu kazini umeachishwa kazi, Je utakimbia au utaenda mtaani kutafuta hela kwa nguvu zote ili uinusuru familia yako ambayo ndo penzi lako lote lipo hapo? sasa ukishapata jibu, jiwekee km hiyo ndo uhalisia wako kwa sasa na unahitaji kutoa single ya maana ili kupata mtaji uweze kuanzisha biashara usaidie familia yako.

By the way, hamna anaezaliwa na kipaji, kipaji unakitafuta mwenye halafu unakomaa. Je kipaji chako ni yimbo aina gani, blues au Rap, au RnB, au ni kipi?
 

Nimekupata Mkuu Na Kuhusu Kusoma Nimesomea Shule Zetu Hizi Za BRN......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Reactions: HMS
Mkuu umempa jamaa shyref bonge la ushauri akizingatia hayo atakuwa bonge la tajiri
 
Reactions: HMS
Kuna watu wana roho mbaya sana humu. Mtu yupo serious anaomba ushauri watu wanamkebehi. Sio vizuri ht kidogo. Au hiyo laki moja mnaiona ndogo sana? Watu wanaanza biashara na elfu 2 nyie mnadharau laki moja?

Nina amini wapo watu wenye akili watamshauri vizuri. Si lazima uchangie kila thread..u better keep quite wakati mwingine.
 
Reactions: HMS
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…