Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Nenda maeneo y singida nunua kuku w kienyeji 10 alaf unauza kw elf 20 dar majogoo
 
Kwa maisha ya Dar,kama mdau mwenzangu alivyokushauri,tafuta bar yenye watu wengi,kisha ufungue kibanda cha chips,Nakuambia utauza hadi utashangaa,hutakosa elfu 50 hadi 70 elfu kwa siku kama faida,ili upate faida hiyo yakupasa,uwe unaamka saa 12 au sa 11 alfajiri,ujitume kwenye kazi,na uwe na msaidizi wako,muuze hadi usiku kucha,yaani itafika wakati utatengeneza hadi 100,000 faida kwa siku,mafanikio yapo sana tu,ila yanataka juhudi zetu.
 
Mwenzenu nina hela kidogo kama laki nne ( 400,000/= ), naomba ushauri nifanye biashara gani? Naombeni mniambie fursa nisije nikala hiyo pesa kidogo.
 
Kwa mtaji huo anzisha biashara ya kununua chupa za plastiki kutoka kwa wale watu wanaookota barabarani halafu ww unaenda kuuza jumla. Fanya hiyo inalipa sana.
 
Kwanza sio kahera sema kahela, jaribu kucheki pipi, ubuyu, sigara, viberiti weka na kahawa, mwanangu utatoka
 
kwa maisha ya Dar,kama mdau mwenzangu alivyokushauri,tafuta bar yenye watu wengi,kisha ufungue kibanda cha chips,Nakuambia utauza hadi utashangaa,hutakosa elfu 50 hadi 70 elfu kwa siku kama faida,ili upate faida hiyo yakupasa,uwe unaamka saa 12 au sa 11 alfajiri,ujitume kwenye kazi,na uwe na msaidizi wako,muuze hadi usiku kucha,yaani itafika wakati utatengeneza hadi 100,000 faida kwa siku,mafanikio yapo sana tu,ila yanataka juhudi zetu.

ID Yako Mkuu Inaendana Na Ulichokiandika Na NIMEFURAHI na UMENIFARIJI Sana Na Nasema Akhsante Kwa Ulichokiandika Kwani Ni Cha UKWELI Mtupu Nami Ni Ndoto Yangu Kuwa Na Kitu au Mradi au Biashara Kama Hiyo Na Upo Sahihi Kuwa Biashara Hiyo UKIIPATIA Sehemu Nzuri UTAINGIZA HELA Hadi UTASHANGAA! Kwa Hichi ULICHOKIANDIKA Umenifanya Kesho Nianze Harakati Zangu Za Kuzunguka Huku Na Kule Ili Nami Nipate Fremu Na Niwekeze ktk Biashara Hiyo. Ubarikiwe MNO. Ukisifiwa Na GENTAMYCINE Jua Hata Mwenyezi Mungu Amekubali Kwani Nipo Nae Karibu SANA.
 
Mwenzenu nina hela kidogo kama laki nne ( 400,000/= ), naomba ushauri nifanye biashara gani? Naombeni mniambie fursa nisije nikala hiyo pesa kidogo.

kama unaweza kuuza laptop katika mazingira yako contact na mm nikupe laptop kwa bei nzuri lkn upige kazi. kwa uchache uwe na uwezo wa kuuza lap 2 kwa week. ukifanya hivyo utapata faida isiyopungua laki 5 kwa mwezi
 
Huyu ana laki nne

Kwani laptop moja ni laki mbili x 2 =400,000.00?
 
Mwenzenu nina hela kidogo kama laki nne ( 400,000/= ), naomba ushauri nifanye biashara gani? Naombeni mniambie fursa nisije nikala hiyo pesa kidogo.

Uko mji gani?

Kama upo Dar, nakushauri fanya fresh juice ya matunda. Ni kuliko kuwa na daladala na pesa zako ulizonazo ni mtaji tosha kabisa.

Mradi uwe msafi na juice yako iwe safi na vifaa vyako viwe visafi, kama unataka ushauri wa kutengeneza juice safi, muombe ushauri farkhina wa JF.

Nakutakia ufumbuzi mwema, vijana kama wewe mnatutia moyo wazee, si wale wanaoingia humu kulalamika tu.
 
Ni PM nikuoneshe njia...Ili tuchange tufnye biasha km patner au vp mkuu :beer:🙂
 
Back
Top Bottom