serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Npo gongo la mboto
Tafuta eneo lenye watu wengi sana..au baa iliyo busy. Fungua banda la chips. Utauza mpaka utachoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Npo gongo la mboto
Jibu Ni Rahisi Tu Uza au Fanya Biashara Ya Jina La Eneo Unaloishi Kwani INAFAIDA Mno ILA Ni Chungu Kumeza.
mwenmzenu Nina kahera kidogo kama lack4 naomba ushauri nifanye biashara gani. nipeni fulusa jaman nisije nikala kazi njema...
kwa maisha ya Dar,kama mdau mwenzangu alivyokushauri,tafuta bar yenye watu wengi,kisha ufungue kibanda cha chips,Nakuambia utauza hadi utashangaa,hutakosa elfu 50 hadi 70 elfu kwa siku kama faida,ili upate faida hiyo yakupasa,uwe unaamka saa 12 au sa 11 alfajiri,ujitume kwenye kazi,na uwe na msaidizi wako,muuze hadi usiku kucha,yaani itafika wakati utatengeneza hadi 100,000 faida kwa siku,mafanikio yapo sana tu,ila yanataka juhudi zetu.
Mwenzenu nina hela kidogo kama laki nne ( 400,000/= ), naomba ushauri nifanye biashara gani? Naombeni mniambie fursa nisije nikala hiyo pesa kidogo.
kama unaweza kuuza laptop katika mazingira yako contact na mm nikupe laptop kwa bei nzuri lkn upige kazi. kwa uchache uwe na uwezo wa kuuza lap 2 kwa week. ukifanya hivyo utapata faida isiyopungua laki 5 kwa mwezi
Mwenzenu nina hela kidogo kama laki nne ( 400,000/= ), naomba ushauri nifanye biashara gani? Naombeni mniambie fursa nisije nikala hiyo pesa kidogo.
Huyu ana laki nne
Kwani laptop moja ni laki mbili x 2 =400,000.00?