Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
dooh hizo mambo mzee hapanaBet tu mzeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dooh hizo mambo mzee hapanaBet tu mzeee
Mzee nilikua natania kama unasehemu ya kufugia jaribu ( Fanya ufugaji ) wa kukudooh hizo mambo mzee hapana
brilliantKama unania kweli ya biashara kanunue u- fresh ni maji yaliyowekwa ladha na rangi box(ice cream za wanafunzi) ni 4000tsh na zinakaa 100 na zinauzwa kila moja 100tsh.
100*100=10000
Hapo faida ni 6000
Haya kwa hy 50000
Nunua box 8 kwa 32000
Itabaki 18000
Kama unaweza kukomaa nauli kutoka tegeta kiwandani popote kwa dar haizidi 10000
Hiyo 8000 ongeza umeme nyumbani ili uzigandishe tayari kwa biashara
Box 8 * idadi ya pc 100=800
800*100=80000
80000-50000=30000
Faida ni 25000-30000
Aya kijana kazi kwako!
How? Give more details please ili aelewe nasi wengine tujifunze.Nakushauri fanya biashara ya mayai ya kienyeji inalipa sana ila kwa kujituma.
BE A SUPPLIER.
nimependa mtazamo wako chanya GOD BE WITH YOU KIJANA
Safi nimeipenda. Hii!Kama unania kweli ya biashara kanunue u- fresh ni maji yaliyowekwa ladha na rangi box(ice cream za wanafunzi) ni 4000tsh na zinakaa 100 na zinauzwa kila moja 100tsh.
100*100=10000
Hapo faida ni 6000
Haya kwa hy 50000
Nunua box 8 kwa 32000
Itabaki 18000
Kama unaweza kukomaa nauli kutoka tegeta kiwandani popote kwa dar haizidi 10000
Hiyo 8000 ongeza umeme nyumbani ili uzigandishe tayari kwa biashara
Box 8 * idadi ya pc 100=800
800*100=80000
80000-50000=30000
Faida ni 25000-30000
Aya kijana kazi kwako!
1:Nunua mayai kwa wafugaji yauze kwa wakaanga chips na madukaniHabari Wakuu
.
.
Nimehitimu kidato cha sita wiki iliyopita na sasa nasubiria matokeo ya mtihani huo lakini.
kwa bahati nzuri nilijiwekea Akiba ya Pesa kiasi cha Elfu hamsini ambayo nahitaji kuitumia kuanzisha biashara ambayo naweza kuifanya kwa wakati huu badala ya kukaa nyumbani bila kazi na kusubiria ugali au kucheki movie na kupoteza mda bila sababu.
.
.
Changamoto yangu ni kuwa cjui nijishughulishe na biashara gani ambayo inaweza kuanzia na kiasi hicho cha fedha.
.
Tafadhalini wakuu naombeni mawazo na ushauri wenu
.
Nifanye nini?
Anza kufanya biashara ya kukaanga pweza.Habari Wakuu
.
.
Nimehitimu kidato cha sita wiki iliyopita na sasa nasubiria matokeo ya mtihani huo lakini.
kwa bahati nzuri nilijiwekea Akiba ya Pesa kiasi cha Elfu hamsini ambayo nahitaji kuitumia kuanzisha biashara ambayo naweza kuifanya kwa wakati huu badala ya kukaa nyumbani bila kazi na kusubiria ugali au kucheki movie na kupoteza mda bila sababu.
.
.
Changamoto yangu ni kuwa cjui nijishughulishe na biashara gani ambayo inaweza kuanzia na kiasi hicho cha fedha.
.
Tafadhalini wakuu naombeni mawazo na ushauri wenu
.
Nifanye nini?
Sijajua yeye alipo ila mayai kijijini ni 200/250 yakishafika mjini ni 450/500How? Give more details please ili aelewe nasi wengine tujifunze.
Asante kwa ushauri wako mkuu"fanya biashara ya matunda( salad) tafuta sehemu bar/restaurant/sokoni/kwenye mkusanyiko wa wawatu. omba uwe unalipa 3000 per day. kwasiku hutakosa 15,000-20,000
Asante mkuu nimekuelewa sana"Kama unania kweli ya biashara kanunue u- fresh ni maji yaliyowekwa ladha na rangi box(ice cream za wanafunzi) ni 4000tsh na zinakaa 100 na zinauzwa kila moja 100tsh.
100*100=10000
Hapo faida ni 6000
Haya kwa hy 50000
Nunua box 8 kwa 32000
Itabaki 18000
Kama unaweza kukomaa nauli kutoka tegeta kiwandani popote kwa dar haizidi 10000
Hiyo 8000 ongeza umeme nyumbani ili uzigandishe tayari kwa biashara
Box 8 * idadi ya pc 100=800
800*100=80000
80000-50000=30000
Faida ni 25000-30000
Aya kijana kazi kwako!
Vocha hailipi labda baandi ya vijiji vinavyouza 700 italipa, huku niliko unaweza ukauza samakiMmmh,hiyo pesa ndogo sana labda ufanye biashara ya karanga na vocha,biscuits,pipi,sigara nk.