Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

kwa mwanza nisikudanganye mkuu,ingekuwa huku kwetu,miguu na utumbo wa kuku dili sana,kama hapa tandale ndo kabisaaa miezi sita tu ungetoka mkuu
 
Kanunue dagaa na uende na Ndoo ya mafuta igombe watakukaangia huko utawalipa kusimamia ilizikauke then Tafuta mtu mkoani tuma na basi, nashauri upaki Katika mifuko ujazo wa buku buku, haina hasara, kabisa profit yake huwa mpaka asilimia 100 kwa maana ya kupata 400000 ukiweka hiyo laki mbili. Ikimtumia mtu tapeli mzigo Biashara haitakuacha salama
 
igombe ndio wapi mkuu
 
Salaam wanaJF
Mada tajwa yahusika
Naomba wale wenye uzoefu wa biashara waniambie laki 5 nifungue biashara gani,nipo Mwanza
Asanteni
 
Tafuta sehem yenye movement za watu wengi then nunua mashine ya Pop corn mkuu.

Naamini utafurahi mwenyewe.
 
Nilikwambia nitalud sasa nimerud mkuu wangu

Kwanza kabla ya yote yakupasa kusali kwa mungu wako hasa jehova maana yeye ndo hujibu maombi kwa wepes sana kushinda mungu wengine

Kwakuwa uko mwanza na una laki tano, fanya kitu kimoja mkuu nenda mlango mmoja kasort tshet nzur za elf moja moja za kama laki mbili, then laki tatu inayobak sort sulual modo kali za jeans za laki tatu yote kama mia vile

Angalizo usinunue robota linaweza kukukata, mimi hiyo ndo biashara ambayo niliifanya ikaniwezesha kupata hela kwa upes sana

Tena kizur zaid saiv mwanza ni musimu wa kila kitu kwa hiyo hela ni ya kumwaga kama siyo kumiminina mazao yote huu ndo msimu wake na wasukuma hupenda sana kuvaa mkuu

Uwe unaenda minadan na uwe una changanya minada ya mjin na vijijin, yaan namanisha uzunguke wilaya zote za nyamagana, ilemela, magu, sengelema na misungwi

Nazan umenipata

Wabheja nkoy

Lakin mimi ni mkulima wa mpunga saiv niko moro na juz nilitoka mpanda huko ndo huwa nalimia maana ardhi ya huko ina rutuba sana

Nahene wamwise
 
Salaam wanaJF
Mada tajwa yahusika
Naomba wale wenye uzoefu wa biashara waniambie laki 5 nifungue biashara gani,nipo Mwanza
Asanteni
Kiongozi njoo sumbawanga. Laki 2 mwachie Mkeo alafu njoo na mtaji wa laki tatu huku kwetu inatosha kabisa kukuwezesha kupata elfu 50 per day. Ukifika nicheki through 0765359154. Baada ya mwaka mmoja utaenda mkoa unaotaka kufungua biashara uitakayo. Mwabeja baba
 
Sasa aje kufanya mini? Au unataka kumfundisha uganga eti
 
Kiongozi njoo sumbawanga. Laki 2 mwachie Mkeo alafu njoo na mtaji wa laki tatu huku kwetu inatosha kabisa kukuwezesha kupata elfu 50 per day. Ukifika nicheki through 0765359154. Baada ya mwaka mmoja utaenda mkoa unaotaka kufungua biashara uitakayo. Mwabeja baba
Wewe utakuwa tapel si bure
 
Nilikwambia nitalud sasa nimerud mkuu wangu

Kwanza kabla ya yote yakupasa kusali kwa mungu wako hasa jehova maana yeye ndo hujibu maombi kwa wepes sana kushinda mungu wengine

Kwakuwa uko mwanza na una laki tano, fanya kitu kimoja mkuu nenda mlango mmoja kasort tshet nzur za elf moja moja za kama laki mbili, then laki tatu inayobak sort sulual modo kali za jeans za laki tatu yote kama mia vile

Angalizo usinunue robota linaweza kukukata, mimi hiyo ndo biashara ambayo niliifanya ikaniwezesha kupata hela kwa upes sana

Tena kizur zaid saiv mwanza ni musimu wa kila kitu kwa hiyo hela ni ya kumwaga kama siyo kumiminina mazao yote huu ndo msimu wake na wasukuma hupenda sana kuvaa mkuu

Uwe unaenda minadan na uwe una changanya minada ya mjin na vijijin, yaan namanisha uzunguke wilaya zote za nyamagana, ilemela, magu, sengelema na misungwi

Nazan umenipata

Wabheja nkoy

Lakin mimi ni mkulima wa mpunga saiv niko moro na juz nilitoka mpanda huko ndo huwa nalimia maana ardhi ya huko ina rutuba sana

Nahene wamwise
Asante mkuu ubarikiwi ntalifanyia kazi wazo lako
 
Back
Top Bottom