Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Sikiliza bro, usijifanye mjuaji. Mtafute muuza pweza mmoja kaa naye muombe kistaarabu akupe PROFIT STORY ya pweza wake kila siku.
Mimi nina uhakika kabisa muuza pweza anapata faida ya 20,000 mpaka 30,000 kila siku atakayokwenda mzigoni.

Wewe una tatizo moja. Unapiga kwamba anapata laki 6 kwa mwezi. Ukumbuke kwamba anapata hiyo laki 6 lakini anaitumia kila siku pia. Ana familia kijinini anaitumia pesa (wazazi) anasomesha, ana familia yake mwenyewe, ana demu n.k

Wewe ulitaka waishi maisha gani? Laki 6 ni ya kuishi vizuri? Au kwa sababu waalimu wanavaa vizuri? Wanavaa vile kwa sababu ya mazingira yao ya kazi. Mimi personally nina mshahara mzuri tu lakini hutawahi nikuta nimevaa vizuri (hasa nikiwa kazini) sababu kazi yangu haifai kabisa kuvaa nikapendeza. Nikipendeza saa 2 asubuhi, kufikia saa 6 tu nishachafuka jasho, vumbi.

Laki 6 sio kupanga nyumba ya laki 1 na nusu ila wengi mmepanga hivyo sababu ya show offs tu. Hamna hata kiwanja Bagamoyo wakati wao wanavyo.
[emoji106]
 
Sisi vijana tuna uvivu flani hivi unsosababishwa na hivi vyeti vya chuo.ila hizi biashara ndogo ndogo hulali njaa kabisa.mfano ingia sokon mabibo au temeke sterio hapo wanauza tikiti buku hadi buku 2 ukilikata kwa ustadi unatoa vipande hata vya buku 4 kwa tikiti moja tafuta meza yako safi panga uza.Niamini mimi unatoka kwa siku hata tikiti 10 unauza.na kukunja 20k. Nenda hapo hapo sokon machungwa wanauza 70tsh wanuza kuanzia kumi.chukua machungwa yako kadhaaa kaaa na meza yako stend uza 150 usitake faida kubwa.Amini mungu utaonekana kawaida lakini maisha yako yanakuendea hakuna kwenda kwa mganga wala nini.! Mimi kama sio hivi vyeti vyangu ningeingia front kuuza matunda ila vyeti vimenifanya kuwa na aibh usoni ntaonekan vipi na watu wanaonijua ??? Ntadharaulika ntachekwa....
 
Sisi vijana tuna uvivu flani hivi unaosababishwa na hivi vyeti vya chuo.ila hizi biashara ndogo ndogo hulali njaa kabisa.mfano ingia sokon mabibo au temeke sterio hapo wanauza tikiti buku hadi buku 2 ukilikata kwa ustadi unatoa vipande hata vya buku 4 kwa tikiti moja tafuta meza yako safi panga uza.Niamini mimi unatoka kwa siku hata tikiti 10 unauza.na kukunja 20k. Nenda hapo hapo sokon machungwa wanauza 70tsh wanuza kuanzia kumi.chukua machungwa yako kadhaaa kaaa na meza yako stend uza 150 usitake faida kubwa.Amini mungu utaonekana kawaida lakini maisha yako yanakuendea hakuna kwenda kwa mganga wala nini.! Mimi kama sio hivi vyeti vyangu ningeingia front kuuza matunda ila vyeti vimenifanya kuwa na aibh usoni ntaonekan vipi na watu wanaonijua ??? Ntadharaulika ntachekwa....
 
Sikiliza bro, usijifanye mjuaji. Mtafute muuza pweza mmoja kaa naye muombe kistaarabu akupe PROFIT STORY ya pweza wake kila siku.
Mimi nina uhakika kabisa muuza pweza anapata faida ya 20,000 mpaka 30,000 kila siku atakayokwenda mzigoni.

Wewe una tatizo moja. Unapiga kwamba anapata laki 6 kwa mwezi. Ukumbuke kwamba anapata hiyo laki 6 lakini anaitumia kila siku pia. Ana familia kijinini anaitumia pesa (wazazi) anasomesha, ana familia yake mwenyewe, ana demu n.k

Wewe ulitaka waishi maisha gani? Laki 6 ni ya kuishi vizuri? Au kwa sababu waalimu wanavaa vizuri? Wanavaa vile kwa sababu ya mazingira yao ya kazi. Mimi personally nina mshahara mzuri tu lakini hutawahi nikuta nimevaa vizuri (hasa nikiwa kazini) sababu kazi yangu haifai kabisa kuvaa nikapendeza. Nikipendeza saa 2 asubuhi, kufikia saa 6 tu nishachafuka jasho, vumbi.

Laki 6 sio kupanga nyumba ya laki 1 na nusu ila wengi mmepanga hivyo sababu ya show offs tu. Hamna hata kiwanja Bagamoyo wakati wao wanavyo.
Nilihangaika kumjibu bure, kumbe ulikuwa ushamaliza.
 
Habari za mida hii wana JF,
Naomba kuuliza, kwa mtaji wa Tsh 200, 000 naweza kuanzisha biashara gani hapa Dar itakayoniwezesha kutengeneza faida ya Tsh 20, 000 kwa siku!!
Msaada wenu tafadhari!!
Kuuza shanga
 
Sisi vijana tuna uvivu flani hivi unsosababishwa na hivi vyeti vya chuo.ila hizi biashara ndogo ndogo hulali njaa kabisa.mfano ingia sokon mabibo au temeke sterio hapo wanauza tikiti buku hadi buku 2 ukilikata kwa ustadi unatoa vipande hata vya buku 4 kwa tikiti moja tafuta meza yako safi panga uza.Niamini mimi unatoka kwa siku hata tikiti 10 unauza.na kukunja 20k. Nenda hapo hapo sokon machungwa wanauza 70tsh wanuza kuanzia kumi.chukua machungwa yako kadhaaa kaaa na meza yako stend uza 150 usitake faida kubwa.Amini mungu utaonekana kawaida lakini maisha yako yanakuendea hakuna kwenda kwa mganga wala nini.! Mimi kama sio hivi vyeti vyangu ningeingia front kuuza matunda ila vyeti vimenifanya kuwa na aibh usoni ntaonekan vipi na watu wanaonijua ??? Ntadharaulika ntachekwa....
Hahaaa...bado hayajakupiga rafiki..
Yakikupiga mbona utasahau kama ulishasomaga?
Ndo mana hawa hawa ambao hawajasoma wanatupiga gap wasomi WA Leo..
 
FUGA BROILER mwenyewe!
Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na tupilipili[emoji39]! Kuku mmoja unapata faida ya 3000 hapo minus operational costs! Ukiuza kuku 7 kwa siku una faida ya 21k!
Ukianza hii biashara nishtue nitakuja kukuungisha

Huu ushauri unautoa uku una njaa!
 
Acha kudanganya umma wewe etuuza pweza anapata faida ya 20 k kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...unaijua faida wewe au hujui hata maana ya faida ,unavosema hio faida inatumika kila siku maisha ya wale watu ni ya kimasikini hali ya chini kabisa Kwa siku hawatumii zaidi ya 8000 na ile meza yao ukikusanya mazaga yote mezani ambayo abakusanya watu na kuwauzia haizidi 18k na huwa biashara zao ni za barabarani kuanzia jion ........

Faida ni mauzo yote utoe gharama ya uendeshaji unayopata ndio faida ...Sasa hao wauza pweza mzee ndio wa kupata faida 20k Kwa siku au mnafikili sisi hatupo barabarani tunateseka huku field sio mchezo ...

Narudia Tena nitajie biashara ya mtaji wa 200k harafu unipe mchanganuo wa faida ya 20000 Kwa siku .....labda hujui maana ya faida .....
[emoji2]boss nachukua mtumba wa watoto ilala ,kwa 221,000 unayoifahamu ,naweza pata nguo 493 mchanganyiko .
Siku ya kwanza na ya pili nauza 3000 kila nguo, siku ya tatu nauza 1500 ,siku ya nne nauza 1000 kila nguo ...akipatikana mteja wa jumla nguo za mwishoni namuuzia 500 kila moja (wauza mtumba wanaweza kuelewa hapa )

Faida kwa siku 5 waweza kusanya 125,000 unayoifahamu .Kwa washindia mihogo wenzangu natenga 25,000 (operational cost ) nyingine ni faida ya msakatonge,ukipata location nzuri unawezapata faida zaidi ya hapo,

Hii ni ushuhuda wa kijana tu wa tandale .Subiri muuza pweza aje kukupa mchanganuo wa kupata faida ya 20,000 kwa mtaji huohuo mdogo mnaomaliza kwenye bia kwa siku
 
Si kwamba haiwezekani Mkuu...ila kitakachotokea ni aina ya dili na namna ya kuisotea kuitimiza.

Vipi kama akapata zali akakutana na Mtu akampa dili ya kumtafutia Jongoo bahari kilo mia kila siku naye akaweza kuzipata kwa gharama ya shilingi laki moja na akasafirisha kwa sh elfu 50 na Tajiri akawa ananunua hizo kilo mia kwa sh laki na hamsini?.

Nasisitiza nimetoa tu mfano kupingana na hoja ya kwamba haiwezekani, ila ni kubahatisha 1 kwenye 100.
Mkuu usimlazimishe kuamini ,wasakatonge tumekuelewa inatosha
 
[emoji2]boss nachukua mtumba wa watoto ilala ,kwa 221,000 unayoifahamu ,naweza pata nguo 493 mchanganyiko .
Siku ya kwanza na ya pili nauza 3000 kila nguo, siku ya tatu nauza 1500 ,siku ya nne nauza 1000 kila nguo ...akipatikana mteja wa jumla nguo za mwishoni namuuzia 500 kila moja (wauza mtumba wanaweza kuelewa hapa )

Faida kwa siku 5 waweza kusanya 125,000 unayoifahamu .Kwa washindia mihogo wenzangu natenga 25,000 (operational cost ) nyingine ni faida ya msakatonge,ukipata location nzuri unawezapata faida zaidi ya hapo,

Hii ni ushuhuda wa kijana tu wa tandale .Subiri muuza pweza aje kukupa mchanganuo wa kupata faida ya 20,000 kwa mtaji huohuo mdogo mnaomaliza kwenye bia kwa siku

ile meza ya muuza pweza ukijumlisha vitu vyake ....pilipili + kachumbali +ule mchuzi + pweza mwenyewe haiwezi zidi 18k akiuza vitu vyote maana Kuna siku anaweza asipate wateja na mzigo ukalala hawezi zidisha 30 k Sasa hio faida ya 20k mnayosema huku kwenye keyboard hivi mnatuona sisi wajinga et ....pita pale kivukoni jion uone maishe ya hao wauza pweza ndio uje uniambie kama ni mtu mwenye uhakika wa laki 6 kwa mwezi ...

Wewe endelea kujitekenya nakucheka mwenyewe huku ,uzuri mnajua moto wa biashara huku mtaani ,changamoto ni kibao Tena zaidi ya mnavoona .....kwanza nyie watu wa ofcin hamuwezi nambia kitu chochote kwenye biashara zaidi ya kuandika maneno ya kusadikika huku ukifikili huku mtaani yanaweza kufanya kazi ...!
 
Fungua kijiwe cha kahawa utauza asubuh na jion kila siku faida ni 40,000 maji dumu 2 za lita 20, kahawa ya elf 5, kashata za elf 5, mkaa elf 5 , vikombe elf 20, jiko la elf 5, sukar ya elf 10 na malimao ya buku
hahahahaha, mna fantasies nyingi sana hapa ila ukija 'field' mambo ni tofauti
kuandika, kuongea ni rahisi mno
 
[emoji2]boss nachukua mtumba wa watoto ilala ,kwa 221,000 unayoifahamu ,naweza pata nguo 493 mchanganyiko .
Siku ya kwanza na ya pili nauza 3000 kila nguo, siku ya tatu nauza 1500 ,siku ya nne nauza 1000 kila nguo ...akipatikana mteja wa jumla nguo za mwishoni namuuzia 500 kila moja (wauza mtumba wanaweza kuelewa hapa )

Faida kwa siku 5 waweza kusanya 125,000 unayoifahamu .Kwa washindia mihogo wenzangu natenga 25,000 (operational cost ) nyingine ni faida ya msakatonge,ukipata location nzuri unawezapata faida zaidi ya hapo,

Hii ni ushuhuda wa kijana tu wa tandale .Subiri muuza pweza aje kukupa mchanganuo wa kupata faida ya 20,000 kwa mtaji huohuo mdogo mnaomaliza kwenye bia kwa siku
boss na ilo wazo la kufungua nguo za watoto km una uzoefu san naomba nkuone unipe msaada
 
[emoji2]boss nachukua mtumba wa watoto ilala ,kwa 221,000 unayoifahamu ,naweza pata nguo 493 mchanganyiko .
Siku ya kwanza na ya pili nauza 3000 kila nguo, siku ya tatu nauza 1500 ,siku ya nne nauza 1000 kila nguo ...akipatikana mteja wa jumla nguo za mwishoni namuuzia 500 kila moja (wauza mtumba wanaweza kuelewa hapa )

Faida kwa siku 5 waweza kusanya 125,000 unayoifahamu .Kwa washindia mihogo wenzangu natenga 25,000 (operational cost ) nyingine ni faida ya msakatonge,ukipata location nzuri unawezapata faida zaidi ya hapo,

Hii ni ushuhuda wa kijana tu wa tandale .Subiri muuza pweza aje kukupa mchanganuo wa kupata faida ya 20,000 kwa mtaji huohuo mdogo mnaomaliza kwenye bia kwa siku
hey
 
Mimi nasema hivi jf wanajua kuandika matumaini hewa .....ni hivo tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Laki mbili hata genge hutengenezi Sasa sijui hio faida ya 20k kwa siku utaipata wapi .....

Labda mauzo yote yawe 20000 harafu kesho anaenda kununua vitu na matumizi mengine anajikuta kabaki na elfu mbili kama faida[emoji28][emoji28][emoji28]
Unafeli sana

Hua naingia k/koo najumua vipodoz kwa 253k

Revenue ni 1.45milion , kwa mwez naenda mara 3

Akili kumkichwa , kuingiza pesa yamaana hakuna uhusiano wowote na mjtaj

Hawa wauza ice cream wa Bakhresa, mule ndan hua kuna mzigo wa 15k , net profit yao hua ni 7k .. so mtu anajitad kwa siku atoe walau viwili vile

Again, akili kumkichwa
 
Back
Top Bottom