Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,758
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia biashara ya mabaraf kama teari una fridgeIce cream
banda la chips mtaji wake ni zaidi ya 200k labla banda la mihogoBanda la chips
mmh million 20 atakata tamaa mapema, aanze kidogo kidogo ili aweze kufika io million20Watakudanganya tu aisee hii ni pesa ya bia mdogo wangu pambana uwe na mtaji japo milioni 20 tunza hiyo akina kwanza.
Shida ni matumizi , ila uwezekano wa kuingiza hio hela upo.Watu kama nyie mnaoandika ujinga Sina muda wa kuwajibu ....wauza pweza ,wauza upupu na chapati ,karanga njiani ....ndio wanatengeneza faida ya 20k Kwa siku ? Yaani kwa mwezi wanapata laki 6 mshahara ambao hata mwalimu Hana ??? Harafu Bado wanaishi mazingira Yale ,? Mtanzania anayepata laki 6 kwa mwezi ni WA kukaa Yale mazingira Unaakili sawa wewe ....
Endelea kudanganya wajinga na wapumbavu humu humu jf ....
hata ukiisoma haisaidii, maana ime base on predictions.. which makes it diffucult to win, yani uwe na unachezea pesa ambazo zipo tu ndio utaona faida coz huna mawazo na upo teari kuwa patient wating for profit.Mpaka Kuanza Kupata Faida Forex Si Mchezo Maybe Uisome Uielewe Sana,Napo Utatakiwa Kutumia muda Wako Mwingi Ili Uunde pesa La sivyo Utaishia Kuburn account Na Kusema Forex Ni Uhuni
Jinsi 3000 ilala...[emoji15][emoji15]Acha uongo[emoji12][emoji12][emoji1787]
za mtumba hizo au dukani?Skin Jeans za kike tunaenda Tandika na Kariakoo tunanunua kwa Tsh. 3000/= kwa kila PC 1.
Hiyo laki mbili yako unapata hizo skin jeans 50,baada ya hapo unazifanyia modification kwa Tsh1000/= kwa kila skin jeans na laki mbili yako inakuwa imeisha na unakuwa umetumia 4000/= kwa kila jeans
Huku kwetu Mbagala kila jeans unauza Tsh 10000/=,hii ina maana umepata faida ya Tsh 6000/= kwa kila jeans na ili upate faida ya Tsh 20,000/= inabidi uuze PC 4 za skin jeans na lengo lako linakuwa limetimia ila huwa tunauza hadi PC 5-8 kwa siku.
Wengi watadharau ila wengine ndio tuanishi mjini kwa style hizo
Wanangu wa Tudo watakuwa wanaelewa nilichokiandika hapa
Mtumba huo mkuuza mtumba hizo au dukani?
Mkuu mtu wa boda anapata faida ya 10k tu! kwa siku??? Wapi huko?Najua watanibeza sanaa ....lakini hio pesa yako haiwezi kukupa faida ya 20,000 kwa siku......
Yaani mtaji wa 200,000. Upate faida ya 20,000 Kwa siku unaota wewe sio bure kama hivyo watu wasingekuwa masikini ...
Mtu wa boda boda karisk 2,500,000 na anapata faida 10k Kwa siku ...
Mtu wa bajaji kanunua 7million Ndio anapata faida ya 20k kwa siku....
Harafu unakuja na mtaji wako wa 200k et upate faida ya 20k kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha sio rahisi kiasi hicho ....
Tafuta kwenye Bar au eneo lililo changamka uza supu ya utumbo wa ng'ombe, supu ya mbuzi au kongoro kwa asubuhi/jioni.Habari za mida hii wana JF,
Naomba kuuliza, kwa mtaji wa Tsh 200, 000 naweza kuanzisha biashara gani hapa Dar itakayoniwezesha kutengeneza faida ya Tsh 20, 000 kwa siku!!
Msaada wenu tafadhari!!
Habari za mida hii wana JF,
Naomba kuuliza, kwa mtaji wa Tsh 200, 000 naweza kuanzisha biashara gani hapa Dar itakayoniwezesha kutengeneza faida ya Tsh 20, 000 kwa siku!!
Msaada wenu tafadhari!
Wananunuaje kwa kiroba mkuumkuuu kannunue mihogo tabora uje uuze hapa dar es salaam utanishukuru kwa,huo mtaji wako
Ulabusawa ndugu umefa nyavizuri kuomba ushauri .Je hapo kijijini kwenu unaona sasana watu wengi wanapenda kujishughulisa na nini..
Mkuu hii unaifanyaje hebu nifafanulie vzrChukua dhahabu gram 3 au 4 .Anza mdogo mdogo . Usisahau ukikosea ni MSIBA .
Uza mboga za majanNina mtaji wa laki mbili na nusu, niko Dar, 20 to 24 yrs, Naombeni ushauri kuhusu biashara ya kufanya, hasa hasa iwe ya chakula, mboga na vitoweo ambayo baada ya wiki mbili nitaanza kushuhudia mafao ya kumwaga! Nawaombeni wakuu, nisije jikuta naipeleka bar au nampa sister X, Ushauri tafadhari!