Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

jf naomba mnipe mawazo kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nina laki 3 nataka nijumue nguo za dukani then nipeleke vijijini nikauze kwa rejareja,kwa wale wazoefu wa biashara hasa za minadani hiyo pesa inaweza kunitoa kimaisha? mimi nipo sumbawanga mjini nataka kwenda mbeya mjini kujumua huo mzigo kwa hiyo pesa,naomba msaada wa mawazo

Kama baadhi ya wadau walivyosema humu ndani, fanya utafiti vizuri kwanza. Wakati nipo mdogo kuna jamaa alianza kwa kuuza sigara(Kipande kimojakimoja siyo packet nzima). Akakomaa mwishowe alikuja kuanzisha duka lake. Kwa hiyo hiyo laki 3 kama uko kweli serious, inaweza kukutoa. Soma hapo chini upate moyo kidogo!

Nine Things More Important Than Capital
by Jim Rohn[/h]When starting any enterprise or business, whether it is full-time or part-time, we all know the value of having plenty of capital (money). But I bet we both know or at least have heard of people who started with no capital who went on to make fortunes. How? You may ask.

Well, I believe there are actually some things that are more valuable than capital that can lead to your entrepreneurial success. Let me give you the list.

1. Time
Time is more valuable than capital. The time you set aside not to be wasted, not to be given away. Time you set aside to be invested in an enterprise that brings value to the marketplace with the hope of making a profit. Now we have capital time.
How valuable is time? Time properly invested is worth a fortune. Time wasted can be devastation. Time invested can perform miracles, so you invest your time.

2. Desperation
I have a friend, Lydia, whose first major investment in her new enterprise was desperation. She said, "My kids are hungry, I've gotta make this work. If this doesn't work, what will I do?" So she invested $1 in her enterprise selling a product she believed in. The $1 was to buy a few flyers so she could make a sale at retail, collect the money and then buy the product wholesale to deliver back to the customer.

My friend Bill Bailey went to Chicago as a teenager after he got out of high school. And the first job he got was as a night janitor. Someone said, "Bill, why would you settle for night janitor?" He said, "Malnutrition." You work at whatever you can possibly get when you get hungry.

You go to work somewhere-night janitor, it doesn't matter where it is. Years later now, Bill is a recipient of the Horatio Alger award, rich and powerful and one of the great examples of lifestyle that I know. But, his first job-night janitor. Desperation can be a powerful incentive. When you say, "I must."

3. Determination
Determination says I will. First Lydia said, "I must find a customer." Desperation. Second, she said, "I will find someone before this first day is over." Sure enough, she found someone. She said, "If it works once, it will work again." But then the next person said, "No." Now what must you invest?

4. Courage
Courage is more valuable than capital. If you've only got $1 and a lot of courage, I'm telling you, you've got a good future ahead of you. Courage in spite of the circumstances. Humans can do the most incredible things no matter what happens. Haven't we heard the stories?

There are some recent ones from Kosovo that are some of the most classic, unbelievable stories of being in the depths of hell and finally making it out. It's humans. You can't sell humans short. Courage in spite of, not because of, but in spite of. Now once Lydia has made 3 or 4 sales and gotten going, here's what now takes over.

5. Ambition
"Wow! If I can sell 3, I can sell 33. If I can sell 33, I can sell 103." Wow. Lydia is now dazzled by her own dreams of the future.

6. Faith
Now she begins to believe she's got a good product. This is probably a good company. And she then starts to believe in herself. Lydia, single mother, 2 kids, no job. "My gosh, I'm going to pull it off!" Her self-esteem starts to soar. These are investments that are unmatched. Money can't touch it. What if you had a million dollars and no faith? You'd be poor. You wouldn't be rich. Now here is the next one, the reason why she's a millionaire today.

7. Ingenuity
Putting your brains to work. Probably up until now, you've put about 1/10 of your brainpower to work. What if you employed the other 9/10? You can't believe what can happen. Humans can come up with the most intriguing things to do. Ingenuity. What's ingenuity worth? A fortune. It is more valuable than money. All you need is a $1 and plenty of ingenuity. Figuring out a way to make it work, make it work, make it work.

8. Heart and Soul
What is a substitute for heart and soul? It's not money. Money can't buy heart and soul. Heart and soul is more valuable than a million dollars. A million dollars without heart and soul, you have no life. You are ineffective. But, heart and soul is like the unseen magic that moves people, moves people to buy, moves people to make decisions, moves people to act, moves people to respond.

9. Personality
You've just got to spruce up and sharpen up your own personality. You've got plenty of personality. Just get it developed to where it is effective every day, effective no matter who you talk to, whether it is a child or whether it is a business person, whether it is a rich person or a poor person. A unique personality that is at home anywhere.

One of my mentors, Bill Bailey, taught me, "You've got to learn to be just as comfortable, Mr. Rohn, whether it is in a little shack in Kentucky having a beer and watching the fights with Winfred, my old friend or in a Georgian mansion in Washington, DC as the Senator's guest." Move with ease whether it is with the rich or whether it is with the poor. And it makes no difference to you who is rich or who is poor. A chance to have a unique relationship with whomever. The kind of personality that 's comfortable. The kind of personality that's not bent out of shape.

And lastly, let's not forget charisma and sophistication. Charisma with a touch of humility. This entire list is more valuable than money. With one dollar and the list I just gave you, the world is yours. It belongs to you, whatever piece of it you desire whatever development you wish for your life. I've given you the secret. Capital. The kind of capital that is more valuable than money and that can secure your future and fortune. Remember that you lack not the resources.
 
nauli ninayo hiyo laki 3 kwa ajili ya kununua mzigo tu,nitajaribu kuwa mchumi zaidi,hata yeboyebo nitajumua tu nikauze

Dogo inakutoa kabisa hiyo'fanya mpango ufanye biashara maeneo yenye watu'kitu kimoja fikiria zaidi biashara ya chakula sio nguo'kula ni lazima utauza tu'halafu angalia totoz maana vijana wengi hapo ndio huwa mwisho wa safari watoto wa kike wakishajua unavichenji basi kazi kwisha'
 
Joel Aman

Hiyo hela kwa kweli ni nyingi kuipata lakini kuanzishia biashara kwa kweli ni shughuli, ila kitu ambacho naweza kukushauri ni vema ukafanya biashara ya Mtandao ambayo unaweza fanikiwa na kupata msaada ya hali ya juu. Unaweza kunipigia 0715733460 kwa maelezo zaidi.
 
Joel Aman

Hiyo hela kwa kweli ni nyingi kuipata lakini kuanzishia biashara kwa kweli ni shughuli, ila kitu ambacho naweza kukushauri ni vema ukafanya biashara ya Mtandao ambayo unaweza fanikiwa na kupata msaada ya hali ya juu. Unaweza kunipigia 0715733460 kwa maelezo zaidi.
Mambo ya mtandao na kijijini wapi na wapi! Kumbuka mwenzio katafuta hela yake kwa taabu maana naona unataka kuinyemelea.
 
Uuh mwanakwetu pole sana ila nakuomba usidanganyike na hao watalaam wa forever living wala wa mtandao..vip lakin ile biashara yetu ya kuchukua dagaa kasanga,kapere,kipwa,kasisi au chilewani na kuwapeleka manyikani kuuza by cash au mnae xchange na mahind au zao lolote ambalo utaona linalipa kimauzo
 
anzisha genge la chakula hapo kijijini kwenu...

zingatia ubora wa chakula na usafi wa chakula na genge lako. tafuta na karedio ka mkulima hivi walau kama kuna FM huko uwe unaipata.

Basi...omba Mungu, weka jitihada na kuzingatia ubora then utafanikiwa!
 
mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza ruaha university (ruco) iringa mjini, naomba ushauri wakubwa nifanye biashara gani niko serious ktk hili nina laki 5 ya uhakika, likizo huwa nakuepo dar, nilifikiria kufanya biashara ya nguo bt ckupata washaur wazur na sehemu ya kupatia mzigo, so nko tayar kwa ushaur abt any pocblbe business.

Unasoma kozi gani?

Una options mbili - aidha uconcentrate kwenye uwekezaji au ujasiriamali na kuipa shule second positions ili ufanikiwe katika biashara au uipe biashara second position ili ufanikiwe shule.

Kwa jinsi ulivyouliza swali hapa , I am afraid to tell you kwamba huonekani kuwa na kipaji cha biashara. Hivyo ningekushauri ujikite kwenye shule ili umalize kwanza shule yako. Mambo ya biashara baadae. Usipoangalia unaweza kukosa vyote.

Swali la kizushi>>> Unajisomesha au unasomeshwa? iwapo unasomeshwa je, anayekulipia ada anajua kwamba una mpango wa kuanzisha biashara? Maoni yake ni nini?
 
LAKI 3,sio ndogo.it depends upo vipi.wengine hata wapate capital ya milioni 10,bado haziwatoshi.piga moyo konde na fanya kazi kwa bidii na epuka matumizi makubwa na kisha omba mungu utafanikiwa.
 
Acha kumdanganya mwezio...Hii biashara unasema unataka akate hiyo laki 3..Hapa Dar hiyo biashara inawashinda watu sasa huko sumbawanga si ndo itakuwa balaa?Atapata wapi huo mtandao wa watu wenye hela za kutosha kuzungusha hizo bidhaa?

Lilian i wish ungejua hii biashara jinsi ilivyo dadangu.......biashara hii kwa taarifa yako hatuzungushi bidhaa kama unavyojua wewe....pole sana na tafadhari jifunze hii biashara usizibe masikio kwa kutotaka kuifahamu hii biashara unavyoijua sivyo inavyofanywa...
 
Kwa nini umeamua shopping yako kufanyia Mbeya na si mahali pengine??
 
mkuu, jambo la msingi zingatia sana nidhamu na matumizi ya pesa yawe mazuri kwa shilingi laki 3 unaweza kubadili maisha yako
 
Jamani mnisaidie nina mtaji wa laki tano tu, biashara gani nifanye ambayo inaweza kuni
saidia ili kufanikisha malengo yangu.
 
Uza miwa ile ya mia mia.Mtaji wake mdogo na inalipa sana. Msimu ukiisha unahamia kwenye matunda mengine..Usikae sokoni bali nenda kwenye mitaa na hasa stendi za daladala.
ANGALIZO : Usharobaro weka pembeni..
 
Jamani naomba msaada wenu,nina mtaji wa laki tano tu, naitajikufanyabiashara,nasijui nifanye biashara gani,iliniweze kutimiza malengo yangu.
 
Back
Top Bottom