kwn ww hy hl yk ni sh ngp? lk 9 au 4. (natumia lugha yako ili unielewe)
laki nne mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwn ww hy hl yk ni sh ngp? lk 9 au 4. (natumia lugha yako ili unielewe)
Habar wakuu mim ni mwanachuo hapo mbeya must kama mnavojua maisha ya bumu yana mwsho wake sasa nlikuwa nmefikria nianzshe japo biashara il ncje juta hapo mbelen ..sasa wakuu n bishara ipi inalipa nfanye ila nlikuwa napendlea zaid ya kuchukua mzgo na kuuza papo hapo kwa sababu mda mwng nnakuwa bize na chuo ntashkuru kwa kuncklza wakubw naomb msaada wenu sana japo ata wa mawazo
kwn ww hy hl yk ni sh ngp? lk 9 au 4. (natumia lugha yako ili unielewe)
aha kuandika kihuni wewe dogo
nachukia sana uhuni huuMsamehe mdau, by the way kuna herufi zimemwagikiwa na super glue hivyo inakuwa ngumu kubonyezeka
mkuu nimekukubalije? Asante kwa kumsaidia ndugu yetu huyu!hapo ni issue na mtaji wako hasa ukizingatia upo busy na masomo, ingekuwa upo uraiani kazi za kufanya na hiyo ela ni nyingi au ingekuwa enzi zetu ningekwambia nunua camera uwe unapiga picha but nowadays kila mtu ana digital camera. Anyway, hapo labda ufanye biashara ya kuuza chupi, vest na jeans vitu vidogo vidogo (kikubwa na wewe uwe ni mtu wa kupigilia pamba inakuwa ni rahisi kuwashawishi wateja) but lazima uwe na link na wanaofanya hiyo biashara ili wakusaidie kukuletea mzigo kuepuka gharama ya kutumia nauli kwa kuwa mtaji wako mdogo
Mpesa kijana au Tigo Pesa.
Kwa haraka haraka fanya survey hapo chuo uone majority wanatumia mtandao gani wa simu sana kati ya tigo na voda.
Kwa uzoefu wangu wengi wao wana line za tigo. Sasa cha kufanya anza na biashara ya tigo Pesa coz tigo wanapanuka haraka sana kwa sasa kwenye tigo pesa. Pili ni cheap kuanza na tigo pesa koz hawana longo longo kama walivyo Voda.
Kingine ni kwamba wateja wengi sasa hivi wa mitandao ya simu wanatumia huduma hizi mbili kwenye mobile pesa kati ya voda na tigo so lazima utapata wateja wa kutosha.
Commission yake iko vizuri so jiunge huko uanze biashara mzee. Uzuri wa hiyo kitu unaanza kula faida mapema ukiwa hauna stress halafu unaweza ku manage vizuri biashara yako hautahitaji mtu wa kuajiri mpaka itakapo panuka zaidi huko mbele. Unaweza jikuta unaanza kujiajiri mapema hata ukimaliza usiwe na hamu tena ya ajira.
mpesa mtaji mdogo ni sh milion 2,
tigo pesa mtaji mdogo sh milioni 1,
+gharama ya kujenga banda
mkuu nimekukubalije? Asante kwa kumsaidia ndugu yetu huyu!
nachukia sana uhuni huu
Mpesa kijana au Tigo Pesa.
Kwa haraka haraka fanya survey hapo chuo uone majority wanatumia mtandao gani wa simu sana kati ya tigo na voda.
Kwa uzoefu wangu wengi wao wana line za tigo. Sasa cha kufanya anza na biashara ya tigo Pesa coz tigo wanapanuka haraka sana kwa sasa kwenye tigo pesa. Pili ni cheap kuanza na tigo pesa koz hawana longo longo kama walivyo Voda.
Kingine ni kwamba wateja wengi sasa hivi wa mitandao ya simu wanatumia huduma hizi mbili kwenye mobile pesa kati ya voda na tigo so lazima utapata wateja wa kutosha.
Commission yake iko vizuri so jiunge huko uanze biashara mzee. Uzuri wa hiyo kitu unaanza kula faida mapema ukiwa hauna stress halafu unaweza ku manage vizuri biashara yako hautahitaji mtu wa kuajiri mpaka itakapo panuka zaidi huko mbele. Unaweza jikuta unaanza kujiajiri mapema hata ukimaliza usiwe na hamu tena ya ajira.
Mkuu hii makitu ya Tigo ss hivi ni ishu, hawatoi laini tena hata mm nataka laini nimeshindwa kuipata, wenye nazo mtaani wanuza, kuna mmj aliniambia anatakga 650,000 na mwingine alitaka 900,000 nikaamua kuwa mpole kidg na sasa nanyuti kd