Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Soma network marketing! Ukiilewa ni pm ntakusaidia namna ya kufanya! Ha a mie ni mwanafunz imentoa sana.
 
fungua eneo la kutoa huduma ya max malipo nadhani inaweza kukusogeza huku ukiwa unapiga buku
 
Habar wakuu mim ni mwanachuo hapo mbeya must kama mnavojua maisha ya bumu yana mwsho wake sasa nlikuwa nmefikria nianzshe japo biashara il ncje juta hapo mbelen ..sasa wakuu n bishara ipi inalipa nfanye ila nlikuwa napendlea zaid ya kuchukua mzgo na kuuza papo hapo kwa sababu mda mwng nnakuwa bize na chuo ntashkuru kwa kuncklza wakubw naomb msaada wenu sana japo ata wa mawazo

Nunua line ya Mpesa inayobaki weka float na cash kidogo then uwe unawapa service hapo chuo watu wakishakufahamu watakuwa wanakufuata room,popote hata class we nenda nayo.
 
Hapo ni issue na mtaji wako hasa ukizingatia upo busy na masomo, ingekuwa upo uraiani kazi za kufanya na hiyo ela ni nyingi au ingekuwa enzi zetu ningekwambia nunua camera uwe unapiga picha but nowadays kila mtu ana digital camera. Anyway, HAPO LABDA UFANYE BIASHARA YA KUUZA CHUPI, VEST NA JEANS VITU VIDOGO VIDOGO (KIKUBWA NA WEWE UWE NI MTU WA KUPIGILIA PAMBA INAKUWA NI RAHISI KUWASHAWISHI WATEJA) BUT LAZIMA UWE NA LINK NA WANAOFANYA HIYO BIASHARA ILI WAKUSAIDIE KUKULETEA MZIGO KUEPUKA GHARAMA YA KUTUMIA NAULI KWA KUWA MTAJI WAKO MDOGO
 
Mpesa kijana au Tigo Pesa.
Kwa haraka haraka fanya survey hapo chuo uone majority wanatumia mtandao gani wa simu sana kati ya tigo na voda.
Kwa uzoefu wangu wengi wao wana line za tigo. Sasa cha kufanya anza na biashara ya tigo Pesa coz tigo wanapanuka haraka sana kwa sasa kwenye tigo pesa. Pili ni cheap kuanza na tigo pesa koz hawana longo longo kama walivyo Voda.
Kingine ni kwamba wateja wengi sasa hivi wa mitandao ya simu wanatumia huduma hizi mbili kwenye mobile pesa kati ya voda na tigo so lazima utapata wateja wa kutosha.
Commission yake iko vizuri so jiunge huko uanze biashara mzee. Uzuri wa hiyo kitu unaanza kula faida mapema ukiwa hauna stress halafu unaweza ku manage vizuri biashara yako hautahitaji mtu wa kuajiri mpaka itakapo panuka zaidi huko mbele. Unaweza jikuta unaanza kujiajiri mapema hata ukimaliza usiwe na hamu tena ya ajira.
 
hapo ni issue na mtaji wako hasa ukizingatia upo busy na masomo, ingekuwa upo uraiani kazi za kufanya na hiyo ela ni nyingi au ingekuwa enzi zetu ningekwambia nunua camera uwe unapiga picha but nowadays kila mtu ana digital camera. Anyway, hapo labda ufanye biashara ya kuuza chupi, vest na jeans vitu vidogo vidogo (kikubwa na wewe uwe ni mtu wa kupigilia pamba inakuwa ni rahisi kuwashawishi wateja) but lazima uwe na link na wanaofanya hiyo biashara ili wakusaidie kukuletea mzigo kuepuka gharama ya kutumia nauli kwa kuwa mtaji wako mdogo
mkuu nimekukubalije? Asante kwa kumsaidia ndugu yetu huyu!
 
mpesa mtaji mdogo ni sh milion 2,
tigo pesa mtaji mdogo sh milioni 1,
+gharama ya kujenga banda

Mpesa kijana au Tigo Pesa.
Kwa haraka haraka fanya survey hapo chuo uone majority wanatumia mtandao gani wa simu sana kati ya tigo na voda.
Kwa uzoefu wangu wengi wao wana line za tigo. Sasa cha kufanya anza na biashara ya tigo Pesa coz tigo wanapanuka haraka sana kwa sasa kwenye tigo pesa. Pili ni cheap kuanza na tigo pesa koz hawana longo longo kama walivyo Voda.
Kingine ni kwamba wateja wengi sasa hivi wa mitandao ya simu wanatumia huduma hizi mbili kwenye mobile pesa kati ya voda na tigo so lazima utapata wateja wa kutosha.
Commission yake iko vizuri so jiunge huko uanze biashara mzee. Uzuri wa hiyo kitu unaanza kula faida mapema ukiwa hauna stress halafu unaweza ku manage vizuri biashara yako hautahitaji mtu wa kuajiri mpaka itakapo panuka zaidi huko mbele. Unaweza jikuta unaanza kujiajiri mapema hata ukimaliza usiwe na hamu tena ya ajira.
 
fanya survey sehemu ulipo kama unaweza jenga
1.kibanda cha chips
2. au grocery ndogo kuuza juice /maziwa /soda /vitafuno /chakula
3. au kuuza mkaa
4. au kiduka kidogo cha mahitaji ya walengwa tu ikiwa ni chuo au shule
 
mpesa mtaji mdogo ni sh milion 2,
tigo pesa mtaji mdogo sh milioni 1,
+gharama ya kujenga banda

Sio lazma ukachukue till kwa voda au tigo,unaweza nunua kwa mtu hata kwa laki 2 then ukaweka float na kianzio kidogo kadiri unavyoweza kuhusu kibanda sio lazma wakati akijipanga atatoa huduma mwenyewe kwa wanafunzi akiwa chuo aidha chumbani au pahala pengine kama wale wanaouza vocha za kurusha akishapata hela ya kutosha anawezafungua hilo banda akaweka mtu.
 
mkuu nimekukubalije? Asante kwa kumsaidia ndugu yetu huyu!

Pamoja mkuu, Watanzania tunaweza kama tukiamua tatizo tulikuwa tumeandaliwa kuwa waajiriwa inapokuja suala la biashara inakuwa ni issue nzito but all in all kila kitu kinawezekana na dogo akachomoka, unajua mama au baba lishe mwenye mtaji wa laki 6 anaweza akaingiza ela nzuri kama amepata location nzuri ya biashara kuliko hata mmilki wa daladala moja, tusiangalie mitaji mikubwa tu hata midogo inawezekana
 
nachukia sana uhuni huu

Alafu utaratibu huu umeota mizizi, zamani walikuwa wanaandika hivi simu zilikuwa character 160 ilikuwa huwezi kuandika zaidi ya moja, sasa siku hizi sijui tuitaje na wengi wana assume tunaelewa kumbe wengine wapi, space ipo ya kutosha lakini kuandika inakuwa hati mkato isiyo rasmi
 
Mpesa kijana au Tigo Pesa.
Kwa haraka haraka fanya survey hapo chuo uone majority wanatumia mtandao gani wa simu sana kati ya tigo na voda.
Kwa uzoefu wangu wengi wao wana line za tigo. Sasa cha kufanya anza na biashara ya tigo Pesa coz tigo wanapanuka haraka sana kwa sasa kwenye tigo pesa. Pili ni cheap kuanza na tigo pesa koz hawana longo longo kama walivyo Voda.
Kingine ni kwamba wateja wengi sasa hivi wa mitandao ya simu wanatumia huduma hizi mbili kwenye mobile pesa kati ya voda na tigo so lazima utapata wateja wa kutosha.
Commission yake iko vizuri so jiunge huko uanze biashara mzee. Uzuri wa hiyo kitu unaanza kula faida mapema ukiwa hauna stress halafu unaweza ku manage vizuri biashara yako hautahitaji mtu wa kuajiri mpaka itakapo panuka zaidi huko mbele. Unaweza jikuta unaanza kujiajiri mapema hata ukimaliza usiwe na hamu tena ya ajira.

Mkuu hii makitu ya Tigo ss hivi ni ishu, hawatoi laini tena hata mm nataka laini nimeshindwa kuipata, wenye nazo mtaani wanuza, kuna mmj aliniambia anatakga 650,000 na mwingine alitaka 900,000 nikaamua kuwa mpole kidg na sasa nanyuti kd
 
Wengi humu wanaandika mradi ameandika laki 4.5 uanzishe tigo pesa au mpesa? Naungana na mdau hapo juu uza pamba jeans na mashati.
 
Mkuu hii makitu ya Tigo ss hivi ni ishu, hawatoi laini tena hata mm nataka laini nimeshindwa kuipata, wenye nazo mtaani wanuza, kuna mmj aliniambia anatakga 650,000 na mwingine alitaka 900,000 nikaamua kuwa mpole kidg na sasa nanyuti kd

voda inawezekana line ya m-pesa laki 2 anabaki na laki 2 na nusu anaweka float laki na nusu anabaki na cash laki 1,ofisi yeye mwenyewe then atajikongoja taratibu.
 
Back
Top Bottom