Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
🤣🤣🤣Wasukuma mmeachwa yatima mlianza kujiona binadam grade A hapa nchini
He was divil, that is all.Udhalimu wake ni namna mnavyohisi kuhusika katika tukio la Lissu, Saanane na mnaodai walipotea? Au mnamhusisha na masuala gani ambayo unaweza kuyatolea ushahidi?
Yaani sijui nani alimwingiza chaka. Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuing'arisha tanzania. Ona sasa anaonekana wa hovyo mbele ya Samia Suluhu.JPM was kind of a leader.. Alikosea na Kuharibu reputation yake..
..Alipoendekeza ukabila.
..kuminya demokrasia
..kutotaka kosolewa
Unataka kulinganisha china na utopolo wa ccm? You must be not in your sane.Hata china walikuwepo kama wewe na hawakuzuia kitu
Wewe ni nani
Unawalinganisha wachina kwa mfano usiolingana na walchofanya wenyewe.Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Ndio maana nikamuuliza analinganisha china na utopolo wa ccm? Ni nchi yenye taaisis na serikali inayojielewa. Wanataka kusawazisha maovu ya mwendazake kwa kujipa matumaini kwamba alitaka kuwa kama china🤣🤣Unawalinganisha wachina kwa mfano usiolingana na walchofanya wenyewe.
Hapa ilikuwa ni mabavu ya mtu mmoja, aliyeteka kila kitu kifanywe anavyotaka yeye hata kama ni makosa.
Kule ni chama kilichoshika hatamu na kuongoza walikotaka kwenda.
Mtu kama huyu Mungu alimpa nafasi atubu akajifanya Mkaidi. Hakupaswa hata kumaliza miaka mitano ya mwanzo kwa mujibu wa Mungu mwenye haki.Hawa watakataa unayoyasema.
1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na niaovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
Magufuli angeacha Tanzania ya kipekee sana kama asingefanya mambo ya ajabu ajabu ambayo hayakuwa na maana yoyote katika uongozi wake.Yaani sijui nani alimwingiza chaka. Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuing'arisha tanzania. Ona sasa anaonekana wa hovyo mbele ya Samia Suluhu.
Eti shetani, dah, nilikuwa nahisi uko na brain walau kidogo.Mungu ameamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika, baada ya miaka mitano nchi yetu kuwa mikononi mwa shetani. Hakuwa na lolote jipya zaidi ya kiburi cha madaraka fullstop.
Mhu! Tutafika tu maana kama Mungu yuko pamoja nasi na ndiye anayetupa viongozi, then haiwezekani kwamba alichagua Tanzania tuwe na kiongozi mmoja milele na milele yote. Labda kama sijakuelewa.Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Mlianza kupaa kuelekea wapi?Well said kijana, naionea huruma Tz yangu tulikuwa tumeanza kupaa Sasa tumerudi tena ground
Labda ni mtoto sana kuelewa hili!..Vyama vya siasa hupenda kupenyeza watu wao ktk vyama vya wafanyakazi, wanafunzi, etc etc.
..Sio jambo la ajabu chama cha kijani, au kile kingine, kuwa na interest na uchaguzi wa viongozi wa chama cha wafanyakazi.
Walikuwa wanapaa kuelekea nchi ya ChatoMlianza kupaa kuelekea wapi?
Na sasa mmerudi wapi?
Mataga kazi mnayo!!
Bado yapo yameletwa na mwendazake. Hii dhambi itakitafuna kizazi chake chote.tunawezakuwa tunajadiri na kijana ambaye 2015 kushuka chini alikuwa hajazaliwa au hakuwa na ufahamu wa jambo lolote.
leo hii hayo uliyoorodhesha bado yapo,lakini sababu hutumii akili vizuri pia bado huwezi jua.
Nadhani he was incompetent to the post. Ndio maana akakosa confidenceMagufuli angeacha Tanzania ya kipekee sana kama asingefanya mambo ya ajabu ajabu ambayo hayakuwa na maana yoyote katika uongozi wake.
Haya mambo aliyokomalia na kumharibia yalikuwa hayamzuii kufanya mambo mazuri aliyotaka kuifanyia nchi.
Hivi vyama vya upinzani kama CHADEMA wasingekuwa na mahali popote pa kumsumbua kama angewaacha tu wapige mayowe, huku wananchi wakiona kazi nzuri aliyokuwa akiifanya.
Lakini ni tabia za mtu. Magufuli alikuwa ni mtu mwenye tabia mbaya, hata bila kuwa rais. Asingeweza kubadilika.
Subiri tuone wasiokuwa wadhalimu wataifanyia Tanzania, wewe ni mbinafsi usiokuwa na future ya baadae hayati alikuwa anaandaa mazingira mazuri kwaajili ya watoto wetu na vizazi vitakavyokuja kumbuka ata china ilipitia magumu mangapi.