Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Sasa hao wazembe wachache madhara yao yanafunika vipi jitihada za wachapakazi wengi?
tone moja la limao linatosha kabisa kuchachusha pipa la pombe na ikaharibika kabisa.

hiyo ni kanuni ya asili kabisa ya hizi nguvu pande mbili chanya na hasi.
ikitengwa milioni 50 kwa ajiri ya ujenzi zikaibwa milioni 1 kuna hatari kubwa sana ujenzi usikamilike kwa pengo la milioni 15 tofauti na ambayo imepunyuzwa.
 
anayekuibia mkeo halafu anamnunulia mahitaji naye ni mwizi pia.ila ni mwizi mwenye ubinaadam kuliko anayekula mkeo na anahongwa unavyohonga wewe.

hizi kelele za mwizi mwizi mwizi,hazina mvuto sababu watu wanataka kazi na waliiona.
wewe mzembe mzembe unakaa kujaribu kuutafuta hio wizi.
 
Tusilazimishane itikadi we kama alikutendea mema endelea na mapambio mimi niache free
sasa wewe ni nani wa kupasua misuli yako ya shingo ili watu wauone ubaya wake!!!

ukikituliza kuna tatizo!!tuliza ........ wewe.
 
Boss kasome historia ya hizo inchi vzuri kabla hujazitolea mifano then urudi kuja kujenga hoja ukiwa na all the factors sio kukirupuka km ulivyofanya hapa...usiione Marekani ya Leo, imepitia misukosuko Mingi ikiwemo biashara ya Utumwa na Civil wars za kutosha...
Ujerumani na Adolf Hitler,
Ufaransa na Utawala wa kifalme e.g Louis XVI( kasome a great french revolution),
Spain na Utawala wa Dikteta Fransisco Franko,
Italy na dictator Musolini.
Hata Uingereza iliongozwa kifalme kwa Miaka mingi sana.
Kifupi Marekani na Ulaya ya Leo zimejengwa kwa misingi ya jasho na damu, wamepitia stages ambazo sisi hatujawahi kuzipita kufika hapo walipo.
Hilter pamoja na mabaya yake yote ila ndio aliewatenezea wajerumani culture ya kufanya kazi kwa bidii...Jamaa walichapika world war II ila now wanaongoza europe kwa kua na uchumi mkubwa.
Middle East yote inaongozwa ki dictator na familia za kifalme.
Ingalie Libya ya Ghadafi na a shit hole Libya ya Leo...Iraq ya Sadam na Iraq ya Leo.
Rwanda hio hapo pembeni yetu inapaa chini ya Kagame.
Sometime dictatorship is a necessary Evil.

Kifupi kuna stages lazima tuiipitie just to lay down the great foundation for the future generations ht km itatugharimu uhuru na damu.
Marekani na Ulaya hazitaki tupitie huko coz wanajua its a necessary step to achieve maendeleo ya kweli, wanataka tupoteze muda na demokrasia uchwara ili watuibie kweli kweli...[emoji3][emoji3]
Wazungu wana msemo " A pack of sheep led by a Lion will always win a fight against a pack of Lions led by a sheep".
Na sisi watanzania we heve lost a Lion, weather we a pack of sheep witout a Lion or or the otherway around that's for you to figure out.
 
Na nyie mmesukumwa na nini gani kuja kumsifia maiti.Unajua kanifanyia nini kwenye maisha yangu mpaka unilazimishe kuwa,muimba mapambio kama wewe.
pambana na hali yako mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

mimi mwenyewe sijaongezwa mshahara miaka 6,sijawahi kuwa mbinafsi kiasi hicho cha kujifikiria mimi pekee.
malalamiko yako ni kama machozi ya samaki maana nyuma yake magufuli ana wafuasi wengi sana hawawezi kukusikiliza eti ulifukuzwa kwa vyeti.
 
Ficha chuki za kijinga, hakuwa rafiki yako wewe na Mzee wa MIGA labda.

Watanzania walimpenda sana kwa uzalendowake na kazinzuri alizo wafanyia nandio maana walimlilia kwa mamilioni.
Walilia kwa furaha kwa kuwa nchi imepata uhuru ambao ulipotea kwa kipindi cha miaka mitano.Kiongozi gani zero kwenye uwanja wa deplomasia ya mataifa na uchumi alafu bado kichwa maji kama wewe unaamini alikuwa anatupeleka nchi ya Ahadi.
 
Kama chaguzi za vyuoni tu (DARUSO,UDOSO,n.k) CCM huwa wanaziingilia na kupachika mamluki wao madarakani,sembuse vyama vya wafanyakazi?

Labda kama hukupita Chuo Kikuu na wala hufuatilii mambo ya Vyama vya Wafanyakazi.
Wewe uliepitia chuo kikuu na degree yako ya chupi ndio unajifanya kujua sana? Mamluki wakipachikwa huko ndio wanasaidia nini?
 
T
Walilia kwa furaha kwa kuwa nchi imepata uhuru ambao ulipotea kwa kipindi cha miaka mitano.Kiongozi gani zero kwenye uwanja wa deplomasia ya mataifa na uchumi alafu bado kichwa maji kama wewe unaamini alikuwa anatupeleka nchi ya ahadi.

Diplomasia gani ya kiuchumi, unaongelea makinikia ama bandari ya bagamoyo.

Tatizo lako wewe nikama teja mlaunga DJ ukishakuita kamanda unajiona tayari unaakili kuiliko watuwote.
 
Motion ya huyo hayati wenu haikua na uelekeo wa kutupeleka uchina,ngoma ilikuwa inaelekea ZIMBABWE acheni kufananisha uharo na futari.
NIPO WAZI KABISA SIKUMPENDA JAMAA YENU HAKUWA KIONGOZI RAFIKI WA WATANZANIA.
Siamini kama huna sababu ya msingi ya kumchujia jiwe,inawezekana wewe upo Kati ya hayo makundi tajwa na mwandishi,lkn unatakiwa uzitime nchi kama malaysia,Singapore,China,kwa mtizamo wa wapigaji ni nchi za kudkteta,tizama surharto alivyokufa, mataifa ya magharibi yalimwita dikteta,lkn hebu fikilia alichoifanyia nchi yake,china kila siku haihawahi kusemwa vzr na watu wa magharibi,initizame leo chini iko wapi?,ombi langu kwako jitahidi kufikiri kwa bidii,utaupata ukweli,
 
Siku wewe mtakatifu ukifa unafikiri kuna watu watakufa wakikulilia?,hata familia tako naamini itashukuru kwa kifo chako,lkn magufuli watu zaidi ya 74 wamepoteza maisha yao wakimlilia
 
NDUZA.

usijifanye kipanga.
Huyu mwamba anafananisha utawala wa Magufuli na china kweli
Mfano mdogo tu kiongozi wa China akibainika amekula rushwa adhabu yake ni risasi vp kuhusu Tanzania
Ripoti ya mkaguzi tu imeonyesha wapigaji lakini kuwashtaki tu imekuwa changamoto
Unajifananishaje hapo
 
Hivi ninyi watu mmekubwa na nini hivi nchi zilizoendelea duniani ni China na Singapore pekee yake?Hivi hizo nchi za Asia unazotaja hapo unaweza zifananisha kwa kiwango bora cha maisha na nchi kama Finland, Denmark,Sweden,Norway na Netherlands? kwanini unahisi kigezo cha maendeleo sharti kiwe kwa njia za udhalimu na umwagaji damu?hii roho na akili ya kishenzi hivi mnaipata wapi?imeanza lini?mbona misingi ya taifa letu inaamini katika haki za binadamu?.
 
Uchina walipotezana wangapi mpaka kufika hapo wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…