Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

Kweli kabisa ni muhimu watu wasome history na waielewe. Kwa mfano sijawahi kuelewa kwanini hawasemi bila Hilter kuanzisha WW II basi Africa na Asia tungechelewa kutoka kwenye makucha ya ukoloni wakati its a fact ile vita iliwadhoofisha wakoloni kiuchumi na manpower kuendelea kuendelea kututawala.
 
Hata siku moja... KUWA NA MAADUI WENGI SI SIFA NZURI!

Hao wapiga dili, Wapinzani, Mabeberu na Wahujumu uchumi ....

HAKUNA ALIYEWAHI KUHUKUMIWA MAHAKAMANI AKAKUTWA NA HATIA... ILA VIROBA VYA SANDARUSI VYENYE MIILI YA WATU!

IS IT NECESSARY THAT EVERY ONE WHO DIES... RESTS IN PEACE!!!

NAOMBA KUPINGA...
 
Mnajitahidi ku publicize uovyo mnaoulazimisha ..

Kiroho tuko nae....

RiP the JPM
Yaani sijui nani alimwingiza chaka. Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuing'arisha tanzania. Ona sasa anaonekana wa hovyo mbele ya Samia Suluhu.
 
Upo sahihi kabisa.
 
Mwendazake angeacha legacy nzuri endapo tu angeishia nafasi ya Waziri Mkuu na wala si vinginevyo. Nafasi ya urais ilikuwa kubwa sana kwake, ilimpwaya mno na wala hakuandaliwa kabisa kuishika.
Waliondaliwa ni wale waliokumbatia ufisadi, rasimali za nchi zikaishia mikononi mwa wa watu. kweli Tanzania tuna safari ndefu sana. Nahisi tuna laana. Natamani tufe wote kije kizazi kingine kianze upya kulijenga hili taifa.
 
Adakadabra nyingi tu ,tusiwe biased, tusiongee positive tuu as if hakuna negatives, huo ubadhirifu aliobaini CAG unatoka wapi kama wahusika wote wapo magerezani?
Yaani watakatifu ndio wamegeuka kuwa wabadhirifu?
Tuongee kwa kiasi wandugu.
Huyu CAG kwa taarifa yako ametumika tu kuja kuchafua hali ya hewa.
 
Wewe uliepitia chuo kikuu na degree yako ya chupi ndio unajifanya kujua sana? Mamluki wakipachikwa huko ndio wanasaidia nini?
Na kwakweli nimesomea degree ya chupi ya madheri wako.

Haya mambo kama hujui uliza uambiwe na siyo kujitia ufundi,kenge wewe!

Labda nikudokeze kidogo:
1.Vyama vikubwa vya siasa (CCM na Chadema) hutegemea kuzalisha viongozi wao wa baadae kutoka matawi ya Vyuo Vikuu (Mfano:VCCM-UDSM/UDOM au BAVICHA-UDSM/UDOM).Hii ndo sababu vyama hivi,hasa CCM,huingilia chaguzi za serikali za wanafunzi ili wapandikize vijana wao.

Na CCM na serikali wanafaidikaje kwa hilo? (A)kupata vijana makini (B)kupata puppets watakaohusika kuzuia migomo vyuoni ambayo huighasi serikali.

2.Halikadhalika CCM huingilia chaguzi za TUCTA,CWT,TALGWU,n.k ili ipandikize watu wake watakaotumika kama 'vibaraka wa dola' ili kuwadhibiti wafanyakazi,kuzima migomo,na harakati zao nyinginezo.

Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini hata chaguzi za TLS (Chama cha Wanasheria) kwa hivi karibuni zimekuwa na taswira ya U-CCM au U-Chadema?
 
Ukizingatia wewe utadumu miaka 102 hadi uwe unatupa shida ya kujichafua...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Na sijui waliokufa wachanga waliadhibiwa kwann?

Magu in heaven⚘⚘
Magu kuna mahali aligusa hapagusiki aliumiza pia watu wengi damu zikamlilia.

Laana na dhambi hufuata kizazi hadi kizazi kama hazitavunjwa,so inawezekana hao wachanga ni dhambi za babu zao hukooo.
 
It was his own making. After all, he centralized corruption into his office.
 
Tunamshukuru Mungu mkuu kwa yote yaliyotokea nchi hii ilishapinduka eti.
 
Inatakiwa afufuke halaf afe tena yule nyapara wa barabara.Pepo mchafu!
 
tunawezakuwa tunajadiri na kijana ambaye 2015 kushuka chini alikuwa hajazaliwa au hakuwa na ufahamu wa jambo lolote.

leo hii hayo uliyoorodhesha bado yapo,lakini sababu hutumii akili vizuri pia bado huwezi jua.
Tatizo unadhani una akili nyingi kumbe ni za kawaida mno. Unashabikia uuaji wa marehemu Magufuli????!
 
Ukizingatia wewe utadumu miaka 102 hadi uwe unatupa shida ya kujichafua...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Na sijui waliokufa wachanga waliadhibiwa kwann?

Magu in heaven⚘⚘
Heaven ya kuzimu sawa !!
Unapora uchaguzi ukijua wananchi hawawezi kukufanya lolote. Unasahau Mungu hataki dharau kwa wananchi ?!.

Uzuri hata mama J ameshamkimbia huko chato yake
 
Bora kuongozwa na huyo Mama , lakini siyo huyo bingwa wa WASIOJULIKANA .
 
Chief pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…