Biblia iko zigzag. Mungu ana wateule wake, tangu mwanzo anajua wewe ni wa kundi gani. Mwandishi mwingine anasema unapo kufa ndio unajua umejiwekea historia gani!Mkuu kwa upande wangu naona inaweza kuwa alimaanisha ya kuwa anajua matendo ya wale ambao angewachagua watatenda,kwa hiyo Mungu anawachagua walio wake kulingana na matendo yao. kumbuka sis wanadamu ni free moral agents tuko huru kuchagua..
Na ndo sababu mhubiri 7:1,2..inasema "SIKU YA KUFA NI BORA KULIKO SIKU YA KUZALIWA", unapokufa unakuwa umejiwekea rekodi ya kuwa ww n mtu wa aina gani.
... kinyume chake ndio ingekuwa ajabu; Mungu asiwafahamu walio wake!? Zingatia; kabla ya kuumbwa ulimwengu alishaumba viumbe wengine na waliomtii anawafahamu toka enzi hizo (kabla ulimwengu kuumbwa) hadi sasa. Hao ndio walio wake.Bwana anawafahamu walio wake, kwa hiyo kuna wengine ambao sio wake toka kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu ambao hawafahamu na hata siku akiwaona atashangaa maana hawafahamu, they never existed kwenye akili yake.
Kwa hiyo dini ni utapeli tu wa kupotezeana muda kwani mungu anawajua walio wake kitambo.
Kukosa subira pia ni sehemu ya worst case πWorst case scenario?, Usiwachokoze hawana subira.
Hii nilimsoma katika The Children of the matrix yule father ata lecture zake kama kichwa umekaza huwezi kumuelewa kabisa.Hoja yako ina ukweli kwa asilimia kubwa mno,ni hivi nilisoma utafiti wa kisayansi uliondikwa na David Acke,huyu ni muingereza anasema hapa Dunia kuna viumbe waliofafana na wanadamu lakini sio wanadamu.Anadai miaka millions zilizopita kulikuwa na viumbe ambao wanaitwa wanafelis ambao walifanya interbreed na wanadamu wenye asili ya Mungu,kwa lengo la kufanya shiftingshape..lengo lao nikuwa miongoni mwa wanadamu ili waweza kuwa control wanadamu kwa kugain political power.
Na kwa mujibu wa David Acke anasema hawa wanaasili ya Reptilians,nahisi kama sio DNA zao basi itakuwa RNA zai zinasoma kule kwa Reptilians.
Ili uweze kuwagundua kitabia
Wana Lower blood pressure
Wana unexplainable scars kwenye mili yao
Pia ni Evil sana kitabia
Pia wanauweo wa kuona mbali pasipo kutumia miwani
KWA ninavyojua MUNGU ana sifa ya OMNIPOTENCE mwenye nguvu zote, omnipresence aliyeko kila mahali, alafu kuna omniscience anayejua kila kitu. Anafahamu kabla hata ya kuwepo tumboni mwa mama yako. Kwanini tusiseme kwamba kuanzia adamu anatenda dhambi mpaka kufikia DUNIA ilipo MUNGU alikuwa anafahamu itakuwa hivi? Jaman mimi huwa najiuliza tu ila naamini katika uwepo wa MUNGU. Naomba mwenye jibu anisaidie tuelimishane2Timotheo 2:19Lakini msingi thabiti uliowekwa na Mungu uko imara, na juu yake yameandikwa maneno haya: βBwana anawafahamu wale walio wake,β na βKila asemaye yeye ni wa Bwana, ni lazima aachane na uovu.β
Wajibu wako ni kuachana na uovu kama wataka kuwa miongoni mwa wateule
Mathayo 22:14 inasema Wengi wamealikwa lakini wachache wameteuliwa. Hapo ni kwamba walio tii ndo wanateuliwa. Ukisoma kisa chote cha Mathayo 22 watu walialikwa na kupewa mavazi ya harusi lakini kuna mwamba kaingia bila vazi la harusi, huyo hakutii
Tii maagiza ya Mungu nawe utaitwa mteule
Hizi dini kuzifuata mkuu sharti uwe si mtu wa kuhoji na kutumia logic.Ukisoma Biblia , 2 Timotheo 2: 19 Mungu anasema yeye anawajua watu wake hata kabla hajaumba misingi ya ulimwengu.
Ukisoma tena Mathayo 22:14 Biblia inasema walioitwa ni wengi lakini wateule ni wachache.
Kwa msingi huo wewe unaweza ama inawezekana umeitwa tu, yaani umekuja tu Duniani lakini Mungu alishakukataa toka hujazaliwa, yaani kabla hata hajawaza kuumba Ulimwengu (Universe).
Kwa msingi huo ni kwamba unaweza kujikuta wewe ni reject from the beginning. Hata ufanyeje, wewe ni reject tu.
Kwa maneno hayo ya Biblia ni kwamba Mungu aliumba watu wengine kuja duniani kufurahisha na kupoteza muda, hawana chao mbinguni hata wafanyeje, yaani unaweza kujikuta unaomba na kulia machozi yote na hata kunena kwa lugha mungu akini hujibiwi maombi ni kwa sababu wewe ni reject muda mrefu maombi yako unapoteza muda bure
Wa maana nyingine unaweza kujikuta Mungu anakuangalia tu na kucheka na kusema huyu angejua anapoteza tu muda hapa, ananipigia kelele kwani tayari alishakukataa kabla hujaumbwa.
Unaweza kusema kwamba mungu aliumba hii dunia na watu kwa ghelesha tu lakini nia yake na mipango yake alishaipanga huko kabla Dunia haijaumbwa na huna cha kufanya kuibadilisha.
Kwa kuhitimisha ni kwamba hizi dini ni ghelesha tu, hazina maana yoyote kwani mungu alishafanya maamuzi yake kabla hata ya kuja hizi dini.
Sijataka kuongelea Quran maana ile ni worst case.
Dini ni mipango ya watu kupiga hela, kukuamulia jinsi ya kuishi, kufikiri na kuamua mambo.Nitajuaje Mungu ananitambua ili nimuabudu? Mtu unaweza kupasua Sala mchana na usiku kumbe hakutambui na wala hajui kama upo duniani. Atheists ndio wanaoishi kwa raha, wao hawaangalii makunyanzi.
DINI ni biashara.Dini ni mipango ya watu kupiga hela, kukuamulia jinsi ya kuishi, kufikiri na kuamua mambo.
Ukifuata dini unakua kama liloboti.
Una weza kuwa binadamu ila sio mtu , mtu anatokana na utu , kama huna utu wewe sio mtu ila ni binadamu. Ili uwe mtu inakupasa uwe na utu , ila kuwa binadamu ni lazima bila hata kuwa mtu.Kuna Binadamu na Watu.
BinAdam Ni uzao wa Adam ... Ila Wa-tu ..ndio wale waliokuwa upande wa pili mbali ambako Kaini alikwenda kuishi baada ya kulaaniwa na kutiwa alama kwa kosa la kumuua ndugu Yake!
Patamu hapo.. ..Ni kwamba huwezi jua au kutofautisha Kati ya Binadamu na Watu!inaweza kuwa hata Mimi na wewe sio binAdam!
Na hapo hapo Adam mwenyewe si bin Adam .Ni Adam!
MKUU kabla ya kusoma biblia kuna prior knowledge itakupasa uwenazo.Shida yenu huwa mnaisoma Biblia na kuitafsiri vile vile na Mara nyingi huwa mnakosea katika tafsiri zenu.
Oyaa Biblia sio kitabu Cha kawaida Kama vitabu vya shuleni.Hicho Ni kitabu kitakatifu Sana na Mara nyingi huwa nashauri kabla hujaifungua Biblia na kuanza kuisoma, muombe Mungu akupe uwezo wa kuelewa kile utakachokisoma bila kupotosha maana iliyokusudiwa.
ungesema tatizo hatuishi na kufuata maagizo tuliyopewa kwenye biblia ningekuunga mkono.Shida yenu huwa mnaisoma Biblia na kuitafsiri vile vile na Mara nyingi huwa mnakosea katika tafsiri zenu.
Oyaa Biblia sio kitabu Cha kawaida Kama vitabu vya shuleni.Hicho Ni kitabu kitakatifu Sana na Mara nyingi huwa nashauri kabla hujaifungua Biblia na kuanza kuisoma, muombe Mungu akupe uwezo wa kuelewa kile utakachokisoma bila kupotosha maana iliyokusudiwa.
Mungu aliijua CCM kabla hata ya 05/02/1977tuanze na ccm
KWAN UNAPOSEMA MUNGU UNAMAANISHA NANI?Mungu aliijua CCM kabla hata ya 05/02/1977
πππ Unaishi kwa bahati mbaya ulizaliwa makusudiHuenda baadhi ya watu Mungu hawafahamu, unaweza ukawa unapasua sana Sala kumbe Mungu hakujui!
Nahuko kuchanganyikiwa ni sehemu ya ajenda ya walioandika hicho kitabu.Saa nyingine ukisoma sana mambo ya dini unaweza kuchanganyikiwa. Kwa mfano Yesu alimwambia Petro utanikana.. sasa kama ilikuwa hivyo si angemuepusha tu Petro hilo lisitokee? Ukienda agano la kale wale waisrael walipotoka Misri hawakuwa na pa kufikia kwahiyo walikuwa wakikuta mji wanaushambulia na kuwaua wenyeji wote.. kiongozi wa yale mauaji ya kutisha alikuwa akiitwa Joshua. Na kwenye mchakato wa yale mauaji alikuwa na usaidizi wa karibu sana wa Mungu. Dini zetu za mizimu nadhani ni bora sana kwasababu hazina huu upuuzi wa kupanikisha watu.
Agano la Kale ni Jino kwa Jino na Jicho kwa JichoSaa nyingine ukisoma sana mambo ya dini unaweza kuchanganyikiwa. Kwa mfano Yesu alimwambia Petro utanikana.. sasa kama ilikuwa hivyo si angemuepusha tu Petro hilo lisitokee? Ukienda agano la kale wale waisrael walipotoka Misri hawakuwa na pa kufikia kwahiyo walikuwa wakikuta mji wanaushambulia na kuwaua wenyeji wote.. kiongozi wa yale mauaji ya kutisha alikuwa akiitwa Joshua. Na kwenye mchakato wa yale mauaji alikuwa na usaidizi wa karibu sana wa Mungu. Dini zetu za mizimu nadhani ni bora sana kwasababu hazina huu upuuzi wa kupanikisha watu.