Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Unampaje hela mtu bila kuifanyia kazi wewe ni dona kantrey ama? 🀣 🀣 🀣
Kwenye kumpa mdada hela Ya bure mimi sioni shida, kama ananipenda, na anani-treat vizuri, nikiona ana shida hata million 5, kama ninayo nampa Bila kuombwa, ila aloo ivo vichomi navokutana navyo looh Extrovert
 
Kama umeolewa au una mtu wako permanent ni vyema hata usitoe namba kabisa, ila kama upo single usitubanie bhana toa namba tujenge maisha.
Mie nimeolewa na nishaapa sitokuja kutoka nje ya ndoa,ila sasa wanaume wanatabia ya kutongoza tongoza inachosha kwakweli tangu binti unatongozwa mpaka mama bado unatongozwaga tu kiukweli sipendi sema utafanyeje
 
Hahahaha, mkuu hawa wadada wamekua na ka'ujinga flani ivi..

Jumanne kuna mmoja tumechat kidogo tu, nikagusia tupate mda tuspend tukiwa wawili (tukulane), zikaanza stori kua yuko bize na kazi, na katikati ya wiki hana mda kabisa, ni mpaka jpili nayo ni lisaa au mawili ndo anakua free.

Nikampotezea, jioni nikaombwa nimkopeshe laki 1 [emoji23]. Eti atanilipa mwisho wa mwezi (nikamwambia mshahara bado hujaingia mpaka trh 5-7)

Kesho yake kuchat kidogo tuu, usiku nikaombwa elfu 30 ya kusuka (nikamuambia hii unatakiwa tukutane sehemu tutulie nikupe,na pia katikati ya wiki alisema yuko bize na kazi sasa uo muda wa kusuka atautolea wapi.?, Ikawa hana jipya zaidi ya kuomba nimpe)mwanzo mwisho akakomaa nimtumie. Na mimi nikachomoa, nikamuambia apa jpili tukionana ntakupa iyo ela [emoji23]..

Apa nazidi kumuona uyu ni malaya tuu,
 
Late 20's? Huna hela yoyote dogo. >% bado upo kwa baba/mama au sekondari, chuo mchundo au diploma/certificate.

Vinginevyo umepanga geto la huko sokota kwa wasela mavi wenzako.
 
Late 20's? Huna hela yoyote dogo. >% bado upo kwa baba/mama au sekondari, chuo mchundo au diploma/certificate.

Vinginevyo umepanga geto la huko sokota kwa wasela mavi wenzako.
Wewe ndio upo kwenu, watu wanamaliza chuo na 24 na ni medicine na kazi mtu anamiaka mitatuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Usikariri chief! Nakazi mtu anapata ya mshahara mkubwa na kusafiri kila leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, narudia acha kukariri. Ukae Dar kwani makao makuu ya nchi ni Dar au DomπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Usikariri, watu wote hawaanzi shule na miaka 7, sawa mkuu. Umeshafika chuo unakaa kwababa na mama ugundue nini. Boss, maisha uliyopitia wewe sio kila mtu anapitiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivyo. Maisha ni kupanga na bahati ya mwenyezi Mungu, sawa. Kama mtu mzima basi akili ifunguke sasa, dunia ya sasa sio ya kipindi kileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ukiambiwa vijana waliopewa vyeo vikubwa kwakipindi hiki huwezi amini ni vijana wadogo sana tena sana. Hatupo miaka ya 1990s, jenga maisha yako acha visingizio, ukichelewa ni either bahati mbaya au wewe ni mvivu, sawasawa mkuu.
 
πŸ’―πŸ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…