Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Hujanielewa kabisa. Hebu soma post yote then usome niliyem quote, mwisho soma comment yangu.Unamapungufu makubwa ndiyo maana unatumia pesa kuficha hayo mapungufu.
During of my heyday nilikuwa nacheza show tofauti tofauti kwa free Africa.
Mnyange anaogopa kukuomba fungu kwa hofu kuwa atakukimbiza.
Kabisa. Vijana washinde mechi zao kila mmoja kwenye part yake. Wasiingiliane.Mwisho wa siku wanakuitwa bwege ukiwa unawatumia tumia Hela kirahisi rahisi.
Hizi mbinu hazina mwenyewe na pia inategemea umekutana na mwanamke wa aina Gani.!?
Wako ambao kwa hio approach Yako ndio wanafall zaidi inakuwa kama chambo kumpata tena na tena
Ila Kuna wale makonki anakula Hela zako na hupati kitu hupati hata busu unakuwa unafanya kazi ya kanisa[emoji1]usawa huu.
Solution ni Kila mtu afanye kile moyo utapata amani na faraja
Unajuaje kwamba ilikuwa ni papuchi ya bure?!Mkuu wewe mchele ndio maana umekosa papuchi ya bure
Kwa nini asiwapate? Wapo wengi tu.Duh,kwa staili hii mtu wa kuoa unampataje,alafu mnasema eti kuolewa ni bahati
[emoji23]Hahahah demu kama hajakupenda anakula elfu ishirini halafu analeta na dharau juu kwamba kwa vile umempa elfu 20 ndio unaona imekuwa sababu ya kumsumbua sumbua.
Hivi vitu havina fomula vijana.Hahahah demu kama hajakupenda anakula elfu ishirini halafu analeta na dharau juu kwamba kwa vile umempa elfu 20 ndio unaona imekuwa sababu ya kumsumbua sumbua.
You are very intelligent sonMwanaume wa maana ndio anaombwa hela kabla hata ya first date? [emoji1787] Au huko kwenye hio 1st date ndio unaenda kuonyesha ushamba zaidi ukihisi kuagiza vya gharama ndio utaonekana classic? [emoji1787]
Son you are very intelligent. Lets go on fvcking these bitches though my age is at 1800 HRSMke ni tofauti na hawa malaya ombaomba tunaowazungumzia hapa
Nipo busy sana kutafuta majibu[emoji16][emoji16][emoji2960]Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!
Nikamwambia abadilishe staili ya kukataa wanaume, kupiga mzinga/kuomba hela chap imepitwa na wakati. Nikamwambia napenda kusaidia watu, mimi sio mchoyo, ila sitapeliwi kijinga.
Nikamwambia kama alikuwa hanitaki angeniambia live na ningemwelewa, pia nikamwambia kuwa sinunuagi mwanamke!
Hakujibu, mpaka leo nasubiri anijibu, hajanijibu, sijui ameishiwa sms!
Sasa si umnunulie hata sms akujibu?Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!
Nikamwambia abadilishe staili ya kukataa wanaume, kupiga mzinga/kuomba hela chap imepitwa na wakati. Nikamwambia napenda kusaidia watu, mimi sio mchoyo, ila sitapeliwi kijinga.
Nikamwambia kama alikuwa hanitaki angeniambia live na ningemwelewa, pia nikamwambia kuwa sinunuagi mwanamke!
Hakujibu, mpaka leo nasubiri anijibu, hajanijibu, sijui ameishiwa sms!
Wewe ni jinsia gani?Ila wanaume wa hii generation ni wachoyo 20,000 tu kweli ya kumtangaza mwenzio jf duuh angekuomba ya maana si ungeomba umtangazi tbc habari. Labda hata alitaka ajipendezeshe for the date tu
A matter of fact[emoji28]Wewe ni jinsia gani?
HOja unatoa wapi ujasiri wa kumuomba mtu pesa hata 1000 ambaye sio rafiki, sio mpenzi na sio ndg yako?
Hoja sio 20k bali timing.
Huu utoto hufai kanisani wala msikitini.
Angesubiri wafahamiane, watongizane angalau angesaidika hata 200k na sio 20k tena.
Wanawake wajinga wanaudhi sana...
My concern ni timing timing timing na sio kiwango cha pesa
Kuwa makini na vizaramo na vimakonde,huwa vinarogaga kabisa uwe zoba kabisa.Hivi vidada vinaomba sana Hela na ukiwazingatia ukawapa basi vinaona wameshakukamata akili vinaanza kukusumbua.
Nyie vidada sisi tunawapa Hela mkituomba ni kwa Sababu zipo ndani ya uwezo.
Kuna sababu nyingi za kuchepuka wewe subiri tu 😄Ni maamuzi tu mkuu,just to have your own principles kila kitu kinawezekana
Huo ndo uanaume sisi hatujaumbwa turidhike na mbususu moja hulka yetu ni kula mbususu nyingi kadiri iwezekanavyoMimi nikilala na msichana mara 4 nishamchoka tayari though ni age go. Nikishachapa makofi na kufinya finya tako tu namchoka