Wewe unaweza kuacha mwanao pendwa aangamie?Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Kwa nini ccm inaachiwa ifanye inavyotaka, wizi wa kura, ufisadi, mauaji nk, watawala hawafiki hata laki tano,wananchi wapo 60+milioni lakini wanatishwa wanatishika! Kwa nini!? Anzia nyumbani bro!Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Haiwezekani kamwe. Hao kobaaz wanajilundika kwa makundi-makundi mfano wa makundi ya nyani eti wanamwendea "simba aliyejeruhia" kwa umoja wao feki kulipiza kisasi cha ngedere na kima walioliwa huko porini kwa uzembe wao wa kutopanda juu ya mti mrefu bali wanarandaranda chini eti wanapunga upepo.Wewe unaweza kuacha mwanao pendwa aangamie?
Naam; hili ndo wazo la kimsingi. Ni changamoto.Kwa nini ccm inaachiwa ifanye inavyotaka, wizi wa kura, ufisadi, mauaji nk, watawala hawafiki hata laki tano,wananchi wapo 60+milioni lakini wanatishwa wanatishika! Kwa nini!? Anzia nyumbani bro!
Swali la Msingi nani Mbabe Hadi sasa kati ya Iran na IsraelHivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Ritz kasema Israeli keshamalizwa na Hezbollah, wewe unaongelea Israeli ipi?Huu ukimya wa kuiacha Israel ifanye inavyotaka hapo Mashariki ya kati unatisha Sana.
Iran kaweka mkia katikati ya miguu, katulia.Maana Kwa taarifa zilizopo ni kama wameifanya nchi ya Syria bila nguvu za kijeshi kwa mwashumbulizi yake waliyoyafanya ndani ya Syria.
Na huko Gaza anashusha tu mabomu anavyotaka. Ile kauli ya Irani kuwa watashughulika na Israel imekuwaje tena?
Mkuu; mbona unauliza majibu?? "Kidume" ameshasawazisha kila palipoparuza huko Syria, tena vilima vimeshushwa na mabonde yamefukiwa.Swali la Msingi nani Mbabe Hadi sasa kati ya Iran na Israel
Kwa sababu Marekani ipo tayari kumlinda dhidi ya lolote wakati wowote.Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Huu ukimya unaonyesha unafiki wa kutupa wa kile kinachoitwa 'international order ' ....Huu ukimya wa kuiacha Israel ifanye inavyotaka hapo Mashariki ya kati unatisha Sana.
Nashangaa eti wanapeleka jeshi Syria Israeli wanataka nini Syria,Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Maana Kwa taarifa zilizopo ni kama wameifanya nchi ya Syria bila nguvu za kijeshi kwa mwashumbulizi yake waliyoyafanya ndani ya Syria.
Na huko Gaza anashusha tu mabomu anavyotaka. Ile kauli ya Irani kuwa watashughulika na Israel imekuwaje tena?
Nilikuwa nataka ni comment ila nilipokutana na comment Yako nikahundua umeandika Kila kitu nilichotaka kuandika.Kwa nini ccm inaachiwa ifanye inavyotaka, wizi wa kura, ufisadi, mauaji nk, watawala hawafiki hata laki tano,wananchi wapo 60+milioni lakini wanatishwa wanatishika! Kwa nini!? Anzia nyumbani bro!
Wanapambana sana.wataweza tu.Hawa ndiyo wataweza?