kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Israel waachwe wasafishe hilo eneo... October 7 walibakwa na kuchinjwa... assume maiti 1200+ zimezagaa mtaani. Utapigwa risasi halafu unabuluzwa huku hamas wengine wanachukua video. Mimi nikikumbuka kifo cha Joshua naona Israel bora aendelee na vita hata kwa miaka mitatu mbeleHivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
October 7 Hamas October 8 HezbollahWakwanza(1). HAMAS 27/10/2024 Akifuatiwa na #2. Hezbollah 28/10/2024 na hatimaye huyo mlevi wa mabikra 72 Houthi. Nani anabisha???
Twaib' Asante kwa masahihisho.October 7 Hamas October 8 Hezbollah
Waachwe kidogo mkuu hata miaka miwiliMwanzo nilikuwa upande wao ila kwa jinsi walivyowauwa viongozi wakubwa na raia huku wakiharibu vibaya miundo mbinu, ukiangalia jinsi wazee na watoto wanavyo teseka hii sasa ifike MWISHO hawa jamaa hawafai kama wakipata fursa wanaweza kuuwa dunia yote
Shida ya hao magaidi ni ule ukatili wao kuwatumia wazee na watoto kama kinga dhidi ya kipondo. Vinginevyo Myahudi yupo organised sana. Tumpe 5yrs amalizie kazi aliyoianza kwa ufanisi mkubwa.Waachwe kidogo mkuu hata miaka miwili
Kawazuie wewe 😂😂😂Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Yeah. Inafanya inavyoona inafaa kufanya, inavyobidi kufanya au mazingira yanadictate nini kifanyike. Yes! Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Hilo ndo Israeli hawezi kuruhusu. Unaleta za kuleta, anagonga kwenye mshono chaap" ili siku nyingine usirudie. Hakuna cha kurembaremba eti aamriwe na Taifa lingine kana kwamba Israel yeye sio Taifa.Linapokuja swala la Usalama wa Israel huwa Israel haiamriwi na Taifa lo lote iwe Marekani au Russia au UK.
Inafanya inavyoona au inavyotaka.
Bahati nzuri wengine mnaona hayo mataifa yanavyonyaswa kwenye ardhi zao na pindi yakiamua kudai ardhi zao isionekane kuwa ni magaidi na hata jina la ugaidi hutumika kuhalalisha kuuawa Kwa watu hao
Wanajua one mistake itawafanya wafutike ndio maana hawaitaji mataifa mengine yawaamulie usalama waoLinapokuja swala la Usalama wa Israel huwa Israel haiamriwi na Taifa lo lote iwe Marekani au Russia au UK.
Inafanya inavyoona au inavyotaka.
Mipasho tu ile.Ile kauli ya Irani kuwa watashughulika na Israel imekuwaje tena?
Uturuki na Iran sio Waarabu kasome ethnic za watu wa Dunia kama unatabia hiyo siku utakuja sema ni wachaga hao majamaa ya Middle East.. Even Lebanon sio arabs ni Phoenician.Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Hata Syrians ni Arabized Arabs sio Original Arabs.Uturuki na Iran sio Waarabu kasome ethnic za watu wa Dunia kama unatabia hiyo siku utakuja sema ni wachaga hao majamaa ya Middle East.. Even Lebanon sio arabs ni Phoenician
Huwa ananifurahisha yule msemaji wa jeshi, Admiral, Major General Daniel Hagari, anakuambia,Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?