Hao wayahudi achana nao mkuu, narudia tena achana nao wayahudi hao, mtume alipambana nao akaishia kufa kwa kuwekewa sumu na mrembo wa kiyahudi. Nao hawawezi nani mpaka Mungu mwenyewe anapoamua kuwaweka chini ya maadui zao. Hao ni ishara pekee kura Mungu ni mwenye nguvu na anajua kuwapigania watu wake.Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Kwa wasioamini kuwa kuna Mungu?Hao ni ishara pekee kuwa Mungu ni mwenye nguvu na anajua kuwapigania watu wake.
Wataamini kwa kupitia Matendo na nguvu ya IsraelKwa wasioamini kuwa kuna Mungu?
Ili umshikishe adabu huyo shoga inabidi shoga mkuu awe ndembendembe nani wa kuifanya hio kazi? Iran ana uwezo mkubwa kabisa wa kuifuta Israel ikawa Magofu withiin 2hours yes am sure! 2hrs lakini je US itakuwaje wa US kiunzi hicho nao ndio maana anaenda kwa minyato. The problem is US brotherBadala ya swali kujibiwa... Naona watu wanashambuliana... Hapo Mashariki ya kati hakuna wa kumshikisha adabu Israel?
Minjingu Jingu jibu hii hoja.Kwanini munampa Israel hati ya kumiliki Mungu Mkuu? Ina maana ili na wengine wapate fursa ya kumuomba huyo Mungu wa kweli inabidi wawe waisrael/wayahudi? Wengine wote hawana Mungu Mkuu isipokuwa waisrael. Haya mambo nyie mna chekechwa mno iweje hao wenye Mungu Mkuu hawaamini kabisa abadani kama Yesu alishakuja? Je wewe unaamini wako sahihi katika hili? Je wewe unaamini Mungu wako ni wa uwongo ni uombe Mungu wa myahudi? Wewe unaamini Yesu alishakuja au bado na wewe unamsubiri kwa mara ya kwanza?
Kitabu Talmud wanachotumia walikitoa wapi? Kwanini hawatumii Torati ya Mussa ambayo ndio kitabu sahihi cha Mungu wao? Wewe unaamini Mungu Mkuu anapatikana katika Torati au Talmud?
Mungu wa Yesu, Mussa na Muisraeli ni yupi Mungu wa kweli?
Sheikh wangu mimi si MyahudiMinjingu Jingu jibu hii hoja.
Had she visited Tanzania?Bastards
Queen Elizabeth II has visited 117 countries during her 70-year reign as British monarch, but has never visited Israel.
Rare Elizabeth W
Kachangia kwa zaidi ya 50% Waasi walikuwa wameshindwa sababu kubwa ikiwa ni Iran na Hezbollah na Wapiganaji kutoka IraqKwani Israel ndiye kamtoa Rais wa Syria madarakani?
Sasa hivi wanapelekwa Urusi kwenye Vita na Ukraine Baridi inawaua kabla hata ya risasi.Hivi wale wajinga wa Houthi wapo? Siwasikii kabsa?
Hapa mwarabu ni Misri tuMataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani
Uliwaona wakipigana miti?Hiki kitaifa kinajionaga kama last born....pamoja na ukristu wangu suala la kusema hawa ni taifa teule sitakaa nikubaliane nalo kamwe....haiwezekani watu wahalalishe wanaume kupigana miti alafu uniambie ni wateule NEVER...Mungu ni wetu sote...
Ila huko mbeleni watakuwa wanawindwa kama nguruwe pori..Time will tell
Amehusika kwa kusupport waliomwondoa Assad!Kwani Israel ndiye kamtoa Rais wa Syria madarakani?
anachokifanya israel ndo anachokifanya russia kule ukraineUgomvi tena. Sizungumzii ugomvi Mimi.
Anachofanya Israel ni zaidi ya kuchokozwa. Ni ubabe.
Serious?Sasa hivi wanapelekwa Urusi kwenye Vita na Ukraine Baridi inawaua kabla hata ya risasi.