Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Yes, Uganda hata mimi zilinishinda. Nairobi bwana pale Carnival unapata nyama laini ni hatari.Nyama choma za Uganda ni ngumu zaidi. Tatizo hamtembei. Ndiyo maana mnaona ya huku ni ngumu.
Yes, Uganda hata mimi zilinishinda. Nairobi bwana pale Carnival unapata nyama laini ni hatari.Nyama choma za Uganda ni ngumu zaidi. Tatizo hamtembei. Ndiyo maana mnaona ya huku ni ngumu.
Viungo kama hivi vinafanya nyama inakuwa laini na tamu sana. Jaribu siku moja utarudi kwenye uzi huu kushukuru.Sidhani kama nyama lazima ilale na viungo ili iwe laini ikichomwa.
Wewe itakua unakaribia kuzeeka taya zinauma, agiza nundu choma uile ikiwa ya motoKuku choma wa kienyeji wagumu sana.
Kabisa, hata ukienda Juba pale Sudan Kusini basi unakutana na nyama laini sana hata kibogoyo anazila bila shida.Yes, Uganda hata mimi zilinishinda. Nairobi bwana pale Carnival unapata nyama laini ni hatari.
Mbona nyama pori kwa kiasi kikubwa huwa ni laini. Wanayama wa kufugwa wanatembea kuliko wa porini?Mifugo inayofugwa "indoors"/zero grazing inakuwa na nyama laini tofauti na inayoswagwa siku nzima ishaota hadi vigimbi.
Wala kitimoto watuletee ushuhuda kama na yenyewe ni purukushani.
Kama unataka kuku choma wanaojielewa.Kuku choma wa kienyeji wagumu sana.
Kijiko?Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
Bila kujali aina ya mapishi nyama choma sehemu nyingi bongo huwa ngumu tu.Kijiko?
Nyama choma ni neno ambalo linaweza jumuisha maelfu ya mapishi, kuna kila aina ya kuchoma nyama kutokana na test yako unayotaka, ukienda hotel nzuri utaulizwa,
Mfano hapa kwetu kama unataka nyama laini unaweza agizishia ambayo imechomwa na foil most of time zinakua laini ama agizishia beef sizzler steak, pia most of time wakichoma kawaida mbuzi anakua mlaini.
Ama nenda hoteli za wahindi recipe zao kama paneer, Malai, sekela, tandoor, Gajar etc ni laini
Nyama choma uchawi wake upo kwenye viungo namna ya kuchanganya.Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
Sina hakika na hilo, uzoefu wangu unaishia kwenye kula digidigi tena wa kupika siyo kuchoma.Mbona nyama pori kwa kiasi kikubwa huwa ni laini. Wanayama wa kufugwa wanatembea kuliko wa porini?
Umeongea point sana, kumbe bongo watu wanakaa na ng'ombe hadi miaka 7! Itakuwa ndio hizo ng'ombe nyingi tunazokula.Uchagani umasaini nyumbani
Kifupi nyama haiwekwi chochote no marination
Na jamii zetu tunapenda nyama ngumu
Nadhani wachoma nyama wengi mjini ni wachaga na walaji wengi ni kanda ya kaskazini
Ukipika nyama sana uchagani asilimia kubwa hawataipenda
Watu wa huku kwa sababu wana asili ya kula nyama wana meno makali sana
Pia nyama haichomwi ikaiva kivile
Kuhusu wazungu. Nyama nyingi zinakuwa laini kwa sababu within two years ng'ombe anachinjwa. Huku kwetu ng'ombe anashindia majani na migomba anaweza fugwa mpaka.l miaka 7 nyama lazima iwe ngumu
Diet ya nafaka ya ng'ombe ughaibuni miaka 2 ashachinjwa..