Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

Kama unataka kuku choma wanaojielewa.
Nenda Morogoro, ile njia Iringa road mbele kidogo kutoka Sangasanga, upande wa kushoto kuna center moja pale wanachoma kuku wa kienyeji watamu sana.
Ewaa kuna kuku choma watamu sijapata kuona
 
Kwa upandewangu naona viungo vinasaidia sana kulainisha nyama hasa tangawizi,kitunguu swaumu na limao

so ni maandalizi pia niliwah siia nyama inayokaa mda mrefu kwenye frezeer inakuwa laini haichelew kuiva ila hilo sina uthibitisho
 
mifugo yetu ni ya asili na sio kufugwa kwa ajili ya nyama tu. Wafugaji wengi wanauza mifugo baada ya kukomaa sana.

Ukiacha hvyo pia nyama ngumu uhitaji marination ya muda sana. So ni michanganyiko arifu ilimradi tupate shida duniani na mbinguni...
 
Ni upishi..
Nigerians wana chakula chao wanaita ponmo, ni ngozi ya ngombe, lakini wanatengeneza hadi inakuwa kama nyama halafu laini sana, you can imagine ngozi inapikwa mpaka inakuwa laini kama chapati...
images

Hata kama mifugo ya Tanzania nyama yake ni ngumu still kuna namna ya kuandaa iwe laini... ni suala la mpishi kufahamu ni aina gani ya nyama anapika na nini afanye iwe laini, sio kumlaumu mfugaji... thats why upishi ni taaluma..

Nyama ili iwe laini inahitaji kuitunza na viungo kwa muda mrefu kwenye fridge kabla hujaichoma kwa moto mdogo kwa masaa mengi...

Kwani wale wapika biriani ile nyama inavyokuwa laini , ile nyama inatoka nje..?
 
ngozi hapa kwetu inauzwa kama supu
 
Back
Top Bottom