Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
pili pili iwe nyingi sanapilipili je unatumia? au niachane nayo
pili pili iwe nyingi sanapilipili je unatumia? au niachane nayo
hauogopi kuwashwa?pili pili iwe nyingi sana
ndio utamu wenyewe huohauogopi kuwashwa?
hahaha sawa imeisha hiyondio utamu wenyewe huo
nakuaminiahahaha sawa imeisha hiyo
Hawaweki viungo nyama choma ug ngumuNyama choma za Uganda ni ngumu zaidi. Tatizo hamtembei. Ndiyo maana mnaona ya huku ni ngumu.
Yeah.Hawaweki viungo nyama choma ug ngumu
DahhhUmewahi kula nyama ya namna hii
We ulichoma lini ikaiva😅😅😅Hawajui kuchoma
Acha kula maharage kila siku, toroka uje ule nyamaWe ulichoma lini ikaiva😅😅😅
Mbn hii kama Ai😅Acha kula maharage kila siku, toroka uje ule nyama
View attachment 3660849
toroka uje, upate mema ya duniaMbn hii kama Ai😅
Hawaweki spices za kutosha zinazolainisha nyamaNi aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
Ungetaja hayo machimbo ili wadau wahakikishenilichogundua wengi humu hamjui machimbo ya nyama mnarukia rukia nyama za mitaami tu kisha mnaconclude
