Rayyan haris
Member
- Jul 26, 2026
- 91
- 127
Nahisi haujakutana na nyati, ni mgumu balaaMbona nyama pori kwa kiasi kikubwa huwa ni laini. Wanayama wa kufugwa wanatembea kuliko wa porini?
Nahisi haujakutana na nyati, ni mgumu balaaMbona nyama pori kwa kiasi kikubwa huwa ni laini. Wanayama wa kufugwa wanatembea kuliko wa porini?
ilikuwa wapi hiyo inawezekana nilikuwa ni mimi mchomajiMi huwa namwambia kabisa hakikisha nyama yako imeiva vzr ndo utuletee mezani la si na hivyo nimwambia sitokulipa ikiwa ngumu.
Juzi Kati nlienda kwenye harusi,aisee Yule mchomaji wao wa nyama nampa ten over ten.Nyama ilikua laini Hadi Raha,plus ladha.
Ngozi ya ng'ombe hata sio ngumu mzee zinaliwa sana kwenye supu za uswahilini!Ni upishi..
Nigerians wana chakula chao wanaita ponmo, ni ngozi ya ngombe, lakini wanatengeneza hadi inakuwa kama nyama halafu laini sana, you can imagine ngozi inapikwa mpaka inakuwa laini kama chapati...
![]()
Hata kama mifugo ya Tanzania nyama yake ni ngumu still kuna namna ya kuandaa iwe laini... ni suala la mpishi kufahamu ni aina gani ya nyama anapika na nini afanye iwe laini, sio kumlaumu mfugaji... thats why upishi ni taaluma..
Nyama ili iwe laini inahitaji kuitunza na viungo kwa muda mrefu kwenye fridge kabla hujaichoma kwa moto mdogo kwa masaa mengi...
Kwani wale wapika biriani ile nyama inavyokuwa laini , ile nyama inatoka nje..?
Doh! Sasa hapo ukitaka kujitibia inakuwaje? Au ushaipenda hiyo hali ya kula nyama mbichi