Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

Pia mkumbuke apa bongo hakuna wafugaji wa ng'ombe,mbuz wa nyama na mnatakiwa mjue ili mtu auze ngombe au mbuzi inabidi awe na shida au mfugo uumwe nje na apo kama hakuna shida au ugonjwa mfugo hufika 5+yrs tena pori to pori,jua mvua (UKITAKA NYAMA LAINI TAFUTA KITIMO anachinjwa akiwa chini ya 2yrs,kuku yakizungu mwez 1 tu)
 
Utunzaji wa mifugo hiyo kabla haijaenda buchani, na maandalizi ikishakuwa nyama wengi hawachomi kwa kutengeneza ladha na ubora wanafanya kuchoma watu wale

Eniwei babangu anajua kuchoma nyama dunia hata km Haina hayo makorombrzwo sjui marination
 
Nilienda kijiji kimoja Arusha kwa wamasai, wakanikaribisha nyama ilikua kama imepashwa sio kupikwa maana hadi damu inaonekana.
Nikashindwa kuila wakawa wananishangaa, kuna mzee akanipa dawa ya kienyeji nikainywa, baada kama ya dakika 20 nilisikia njaa kama nakufa..
Niliishulikia zile nyama hatari kabsa mpaka leo sipendi nyama iliyo iva sana mpaka nyumbani wanashangaa...
 
Hahaa
Nyama haioshwi inachomwa kama ilivyo.
Hukuona wanakula nyama mbichi, wengine wanashangaa wakiona mtu anakula nyama mbichi kama utumbo laini na pilipili
 
Umeongea point sana, kumbe bongo watu wanakaa na ng'ombe hadi miaka 7! Itakuwa ndio hizo ng'ombe nyingi tunazokula.
Minimum 4 years kibongo bongo huwezi kula ng'ombe wa miaka 2
Anakuwa bado kinda kutokana na diet anayokula

Ng'ombe wa kibongo wanakula udongo huko malishoni hakuna majani ha kutosha unatemgemea atakuwa na nyama tamu

Ukitaka kula ng'ombe mtamu ni yule anafugwa ndani hakai juani haina haja ya kuweka ndimu nyingi
 
Doh! Sasa hapo ukitaka kujitibia inakuwaje? Au ushaipenda hiyo hali ya kula nyama mbichi
 
Hahaa
Nyama haioshwi inachomwa kama ilivyo.
Hukuona wanakula nyama mbichi, wengine wanashangaa wakiona mtu anakula nyama mbichi kama utumbo laini na pilipili
Yakuchoma pekeake ndio inaliwa hivo
Doh! Sasa hapo ukitaka kujitibia inakuwaje? Au ushaipenda hiyo hali ya kula nyama mbichi
Naona kawaida sasa hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…