Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

Mi huwa namwambia kabisa hakikisha nyama yako imeiva vzr ndo utuletee mezani la si na hivyo nimwambia sitokulipa ikiwa ngumu.

Juzi Kati nlienda kwenye harusi,aisee Yule mchomaji wao wa nyama nampa ten over ten.Nyama ilikua laini Hadi Raha,plus ladha.
 
Bongo ukimaliza kula nyama choma ujiandae kumeza panado ya kutuliza maumivu ya fizi na kichwa kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…