Ewaa kuna kuku choma watamu sijapata kuonaKama unataka kuku choma wanaojielewa.
Nenda Morogoro, ile njia Iringa road mbele kidogo kutoka Sangasanga, upande wa kushoto kuna center moja pale wanachoma kuku wa kienyeji watamu sana.
Ziko sababu kuu zifuatazo:Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
Kuchoma nyama ni ufundi, jibu ni hakuna mafundi.Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
Ulikula kwa yule masai kwa nani mkuu ?Ewaa kuna kuku choma watamu sijapata kuona
😅😅😅Mifugo inayofugwa "indoors"/zero grazing inakuwa na nyama laini tofauti na inayoswagwa siku nzima ishaota hadi vigimbi.
Wala kitimoto watuletee ushuhuda kama na yenyewe ni purukushani.
vijijini mifugo inakula tizi la kutosha fulu misuliMifugo inayofugwa "indoors"/zero grazing inakuwa na nyama laini tofauti na inayoswagwa siku nzima ishaota hadi vigimbi.
Wala kitimoto watuletee ushuhuda kama na yenyewe ni purukushani.
mifugo yetu ni ya asili na sio kufugwa kwa ajili ya nyama tu. Wafugaji wengi wanauza mifugo baada ya kukomaa sana.
Ukiacha hvyo pia nyama ngumu uhitaji marination ya muda sana. So ni michanganyiko arifu ilimradi tupate shida duniani na mbinguni...
Imagine Ng'ombe anatamba kutoka Dodoma hadi chunya Mbeya kwa miguu, hapo kuna misuli ya nyama kweli?Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
ngozi hapa kwetu inauzwa kama supuNi upishi..
Nigerians wana chakula chao wanaita ponmo, ni ngozi ya ngombe, lakini wanatengeneza hadi inakuwa kama nyama halafu laini sana, you can imagine ngozi inapikwa mpaka inakuwa laini kama chapati...
Hata kama mifugo ya Tanzania nyama yake ni ngumu still kuna namna ya kuandaa iwe laini... ni suala la mpishi kufahamu ni aina gani ya nyama anapika na nini afanye iwe laini, sio kumlaumu mfugaji... thats why upishi ni taaluma..
Nyama ili iwe laini inahitaji kuitunza na viungo kwa muda mrefu kwenye fridge kabla hujaichoma kwa moto mdogo kwa masaa mengi...
Kwani wale wapika biriani ile nyama inavyokuwa laini , ile nyama inatoka nje..?
Shida nyama inachomwa Naked on Fire.Tena kwa moto mkali. Inatakiwa nyama ichomwe kwenye Foil tena kwa moto mdogo.Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
Choma mwenyewe mbona ni rahisi sana shida tunapenda kujidekezaNi aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko