Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

ilikuwa wapi hiyo inawezekana nilikuwa ni mimi mchomaji
 
Ngozi ya ng'ombe hata sio ngumu mzee zinaliwa sana kwenye supu za uswahilini!
 
Hakuna wachoma nyama huku..wa kuhesabu...kuna pale Mkata..Mombo ni vituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…