Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Nabii Mussa alikuwa ni mweusiSio tu duniani
Nitajie nabii alietumwa na Mungu iwe kwenye biblia au kwenye Qur an ambae alikuwa mweusi?
Surecorrect wenyewe kwa wenyewe unaweza kukuta hawaoleani...yaani ukitaja unatokea kabila fulani/koo flani basi huwezi pewa mke.
Mfano ukitokea koo yenye hadhi ya chini basi huwezi pewa mke aliyezaliwa katika koo au kabila lente nguvu. Ipo hivyo hata kwa wazungu huwezi kwenda kuoa katika familia ya mfalme Charles ikiwa wewe si katika familia ya kifalme.
Tangu nikiwa mdogo nasikia katika jamii yetu watu wanaonywa kuoa watu wa kaskazini hasa Wachaga na Wahaya kwamba lazima yatakukuta tu huko mbeleni. Makablia ya nyanza za juu kusini sijawahi kusikia sana yakituhumiwa labda kidogo WanyakyusaMfano makabila gani watu wake wanapigwa vita kuoana kwetu sisi weusi ?
Musa ni Character wa KiyahudiNabii Mussa alikuwa ni mweusi
Narrated Ibn `Abbas:
The Prophet (ﷺ) said, "I saw Moses, Jesus and Abraham (on the night of my Ascension to the heavens). Jesus was of red complexion, curly hair and a broad chest. Moses was of brown complexion, straight hair and tall stature as if he was from the people of Az-Zutt." (sahih Bukhar)
Na wao wanalinda Nasabah yao isipotee..!! Waarabu wa hadhi ya chini nao huozeshana na koo za waarabu wenye hadhi ya chini..Familia za kibedui zinaozeshana zenyewe kwa wenyeweHapo umeongelea Waarabu wenye pesa tu, vipi kuhusu Waarabu wasio na pesa na mali lakini hawapendi mahusiano kati ya Waarabu na watu weusi?
Hayo maneno ya wazee wa zamani sio watu wengi wanaozingatia sana tena, sasa hivi Wachaga na Wahaya wameona sana.Tangu nikiwa mdogo nasikia katika jamii yetu watu wanaonywa kuoa watu wa kaskazini hasa Wachaga na Wahaya kwamba lazima yatakukuta tu huko mbeleni. Makablia ya nyanza za juu kusini sijawahi kusikia sana yakituhumiwa labda kidogo Wanyakyusa
Ilikuwepo na mpaka sasa ipo kwa baadhi ya makabila na jamii fulani ,hata machame na kibosho tu ulilikua hivyo na kuna ambao mpaka sasa wana ona hivyoWahutu na Watusi wamekuwa wanaoana miaka yote (pia hawakuwa kama makabila tofauti bali watu katika madaraja mawili tofauti ya uchumi ndio maana hata lugha ni moja.
Hakuna mtu anayezuiwa au atakayebaguliwa kwenda kuoa au kuolewa kwa Wahadzabe nchi hii. Ubaguzi uliopo Tanzania kwenye kuoa labda wa dini.
Kwasababu watu weusi ni Nyani, hamjiamini na hamjitambui.Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
View attachment 3676114
Na wayahudi hawakuwa weupe kama hawa wazayuni wa leo. Waliishi Misri ardhi ya watu weusiMusa ni Character wa Kiyahudi
Ubaguzi uliopo Tanzania katika ya makabila ni wa maneno zaidi, sio vitendo. Tanzania hadi Wachaga wanaoa Wapemba. Ni kawaida sana Tanzania kukuta Mpare na Mchaga au Msukuma na Mzaramo wamezaa pamoja.Ungeanza na sisi wenyewe rangi nyeusi tunavyobaguana.
Unalalamika kwamba Waarabu ni wabaguzi na hawataki kuchanganya rangi na watu weusi,kwa kiasi fulani, hoja yako inaweza kueleweka.
Lakini kabla hatujawalaumu wengine, ebu turudi nyuma tujiangalie sisi wenyewe rangi nyeusi tunavyobaguana, je, tunajitofautisha kiasi gani na wale tunaowaita wabaguzi?
Umewahi kusikia mtu akisema, “Usioe watu wa Singida au Manyara, wanawake wao ni malaya? Huo si ubaguzi?
“Usioe Mpare, Wachaga au watu wa kabila fulani kwa sababu ni wachoyo,” au “Usioe Mzaramo kwa sababu wanapenda ngoma na umalaya”je, huo nao si ubaguzi?
Tatizo linakuwa pale tunapobaguana sisi kwa sisi tunaona ni jambo la kawaida, lakini tukibaguliwa na watu wengine tunaliona kuwa ni kosa kubwa.
Ukweli ni kwamba, ubaguzi unabaki kuwa ubaguzi, iwe unatoka kwa mtu wa rangi nyingine au unatoka kwa mtu mwenye rangi yako, taifa au kabila lako.
Kabla hatujadai usawa kutoka kwa wengine, ni muhimu pia tuanze kujitazama sisi wenyewe. Tusipende kulalamika ubaguzi tunapofanyiwa, huku sisi wenyewe tukiufanya kwa wengine.
Waisraeli ni wa Mushi tu, wengine waafrika.Hahaha hata wachaga black kabisa na pua yake pana kama kisado anadai ni myahudi
Wale nao ni weusi.. Akisimama na mzungu bado ataonekana Black.kuna waafrika ni weupe mfano wanyaturu, warangi na wambulu, hawa nao wanaweza kubaguliwa kwa rangi zao? Kuna raia mmoja mtanzania huko misri anafanya kazi huko, ni mnyaturu na mke wake ni msandawi, wote ni weupe na wamezaa watoto weupe utadhani ni waarabu wa misri. Wakivaa hijabu unaweza kudhani ni waarabu. Sasa hawa watabaguliwa vipi na waarabu wakati wanafanana nao weupe?
Sio tatizo kama wewe mtu binafsi utasema hutaka kuwa na mahusiano na mtu wa rangi au dini fulani ila inapofikia kiwango cha jamii, familia au kabila kwa ukubwa kupinga au kutatiza mahusiano kati ya watu kwa sababu ya rangi au dini hiyo ni shida.Wahindi mpaka kesho ukiwa mtu mweusi basi kupewa mke kwenye familia zao ni mtihani mkubwa sana. Hawataki kuchanganya damu....Sio jambo baya pia inatuwezesha tujuane na kutofautiana mionekano.
Mfano tukiwa ulaya nikimuona mtu mweusi najua tu huyu atakuwa ni kutoka Africa, nikimuona muhindi pure najua huyu ni kutoka india,nikimuona mchina najua huyu ni kutoka china. Nikimuona mjapan najua huyu ni kutoka japan...Machotara (Half cast)huwa wanakosa ile hali ya kutambulika kinasaba
How has it helped him? That frequencyBlack man is not about colour it is a high vibration frequency