MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Dah kumamae ,hela hizi duh ,basi tu ni vile fake ID nabaki kula kwa macho tu .Kuvuta bangi na kuwa muhuni havina mahusiano kabisa ! ๐ Ni vile tu mnashobokea mambo wabongo !!
Nakula kijiti na sio muhuni na naishi vyema na mche nimeandaa mwenyewe
SAYNGAYMoja kwa moja.
Kwa utafiti usio rasmi ;
Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange
Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza
Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo .
Wavuta bange kujiona wao MaGenius zaidi , akitoa maoni anaona hakuna mawazo mengine Bora kuliko yake na lazima ufuate mawazo yake na wanakuwa na confidence ya kipuuzi
Miongoni mwa mijitu ya hovyo zaidi Duniani ni wavuta bange hata mawazo yao ni ya kibwege sana.
#UziTayari
View attachment 3519494
Lakini mbona Popoma Genta havuti ila yuko resi? Hii topic ni ngumu sana kupata conclusion. Nikiwa form four aliyeongoza kwa kupiga One ya 7 alikuwa mvuta bangi wa kimyakimya ila hatari. Marafiki zangu wote niliokuwa nao shule walipiga One na wachache TWO. Hata kwenye maisha baada ya shule bado wako vizuri hawajachanganyikiwa. Kwa hiyo ni ngumu sana kuilaumu bangi kwa 100%.
Jomba huyu ndo kipenzi chenu kwa sasa?
Kuliko sigara pia.Bangi inafaa Sana Kwa matumizi kuliko pombe,
Mimi sivuti Ila nimewatetea.Navuta sana mkuu Toka mwaka 2007 hadi Leo
Bange haina madhara kabisa
A.P au tahajuudiSehemu ya ibada ya nani
Mimi ni nani wa kumpinga BLACK TIGER hii comment yako nimeiwekea lamination na fremu juu afu nimeibandika kwenye ukuta wa sebule yangu, LEGALIZE WEED ๐๐A.P au tahajuudi
ganja usivute kwenye magroup
vuta asubuhi na jioni tu
nyonga ganja mwenyewe
tafuta chimbo lenye usalama na tulivu
kuwa msafi
usivute ganga mpk uka seize
usichanganye na fegi au nyota
vuta dry
machache zingatia hayo.
Naiona filter๐๐Kuvuta bangi na kuwa muhuni havina mahusiano kabisa ! ๐ Ni vile tu mnashobokea mambo wabongo !!
Nakula kijiti na sio muhuni na naishi vyema na mche nimeandaa mwenyewe
Sio anaichukia ila ana pretend mbele ya watesi wake walioaminishwa kuwa bangi ni mbaya ili wawapo pamoja waongee lugha Moja,mvuta Bangi anapenda amani kuliko kawaida hataki kuwa disappoint watu wanaomzungukaKama bangi ni kitu kizuri kwa nini achukie kuitwa Mvuta Bangi