Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Naam, kila siku data Zinaletwa huku hio mikoa ipo juu kuchangia pato la Taifa, ILa hawaelewi, sio uvuvi tu bali mazao yanaolimwa Pwani hayahitaji uangalizi kila siku kwenda Shamba, Minazi, Poppoo, Machungwa, spice spice kama Karafuu, iliki midalasini etc Kanda ya kaskazini Tanga kila siku inaipita Arusha na Kilimanjaro ila huwezi sikia hao wengine wanaitwa Wavivu.
 
Usifananishe pwani na watu weny utapiamlo hizo sehemu hamba hata jiji ni watu wa ovyo ,yaani hata kuoga tatizo .

Kazi za kijinga hakuna tajiri anafanya huo ujinga wenu ,vyakula ni uchafu kwa nn msipata utapiamlo.
 
🤣🤣🤣
Sasa mkuu hata ungekuwa wewe kwa baridi la Njombe utaoga kweli...
yaani uanze kuoga Mara tatu halafu unakaa Mwakaleri, unajipenda..
🤣🤣🤣

Kwenye Utapia mlo kweli ni shida, lakini ni coz watu hawana elimu...na siyo upungufu wa chakula...

Sasa kwenye utajiri;Hivi Kuna watu Pwani wanapiga hela kama Wakinga...
Ushafika Sumbawanga na Tunduma.

Yani,siyo kazi za kijinga, Pwani kila kazi kwao ni shida...kufuga shida,migodi shida,Uvuvi shida,biashara shida..

Mkuu usikasirike, nyie ndiyo wenye uwezo wa kuhimiza vizazi vyenu, mana mikoa yenu inastahili kuwa juu sana.
 
We una chuki na ni mmbeya. Kuna mtu umemnunulia ht kilo moja? We ni bwege
 
We kwenu wapi ambao ni wachapa kazi
 
Uliona mikoa ya pwani wakiomba mazao kutoka nje?🤣

Ulishawahi kusikia njaa ? Omba omba utakuta huku kwenu haswa Dodoma
 
Yani,Mkuu kwenye kuchangia pato la Taifa kwa ukanda wa Pwani ni Tanga tu ndiyo wajitahidi, Dar utoe mana huo ni wa kila mtu....na hapo ni Wilaya Tatu tu za Mkinga,Handeni na Lushoto

Nenda Pwani,Lindi na Mtwara sasa,,,yani dah

Spices, Morogoro ndiyo yaongoza,,fika Mvuha uko ukajionee...
 
Uliona mikoa ya pwani wakiomba mazao kutoka nje?🤣

Ulishawahi kusikia njaa ? Omba omba utakuta huku kwenu haswa Dodoma
Mkuu,
Mimi natokea ukanda unaolisha nchi nzima, hatuna na hatuja wahi kuwa na njaa,,yani tuna mvua kila mwezi, Kuna umande wa kutosha...
Yani tunawalisha kwa Mahindi,Mchele, Ngano,Ndizi,Chips,Vitunguu na Mafuta,Kitimoto...

Dodoma,Singida na Tabora ni kame ila wanajitutumua kwa Kilimo....

Hapo pa kujicheka ni nyie, sie tupo poa...
 
Ukanda upi sehemu hiyo labda mchele ndio maarufu ,huku pwani mazao yenu hayapo kabisa Mengi ni kutoka Moro na Tanga.

Jaribu kuzunguka sio unadanganywa na ushamba wa ukanda wenu ,watu washamb jaribu kufanya tathminu kwanza
 
Hayo mazao pwani hawezi kulima hayana faida.
Watu wanapambana na ufuta, korosho minazi ndio mazao Yao.
Ufuta waapi bwana, watu wanaolima ufuta wanajulikana kabisa ukienda huko singida unaona mashamba yalivyotamalaki ufuta.. Hiyo minazi pwani imejiotea tu, na mengine ilipandwa na waarabu nyakati hizo. Wao kwa sasa wanafanya kuangua tu nazi.
 
Ukanda upi sehemu hiyo labda mchele ndio maarufu ,huku pwani mazao yenu hayapo kabisa Mengi ni kutoka Moro na Tanga.

Jaribu kuzunguka sio unadanganywa na ushamba wa ukanda wenu ,watu washamb jaribu kufanya tathminu kwanza
wewe Pingana na ukweli....
Mimi natokea Nyanda za Juu.

Msimu wa Mpunga mwezi wa 6 nenda barabara ya Iringa magari yanayoleta mchele Dar,

Msimu wa Mahindi ,mwezi wa 8,uone mahindi yanayotoka Nyanda za Juu.

Viazi vya Chips hivyo, nenda mabibo kawaulize vinatoka wapi...

Msimu wa maharage, nenda barabara ya Iringa ujionee magari...

Mashamba ya Ngano hiyo ya kuwekea maandazi inatoka Handeni ?

Chai na Parachichi nenda Njombe ukajionee mwenyewe

Yani kule kuna ya kuuza nje na kulisha nchi nzima...

Mwisho wa mwaka ,funga Safari ufike ,ntawaambie wakualike.
 
Taja mkoa wako! 🤣🤣🤣watu wa bara wala hatuna shobo na nyie ,ujinga wenu kwanza tunawaona kinyaaa.

Kujiona bora hata kuoga tatizo.
 
Ufuta waapi bwana, watu wanaolima ufuta wanajulikana kabisa ukienda huko singida unaona mashamba yalivyotamalaki ufuta.. Hiyo minazi pwani imejiotea tu, na mengine ilipandwa na waarabu nyakati hizo. Wao kwa sasa wanafanya kuangua tu nazi.
Eti Ufuta ,dah...
Nilifika vijiji vya Mkuranga yani mtu ana robo heka ,ndiyo anasema ana shamba, dah..nilichoka
 
Taja mkoa wako! 🤣🤣🤣watu wa bara wala hatuna shobo na nyie ,ujinga wenu kwanza tunawaona kinyaaa.

Kujiona bora hata kuoga tatizo.
Sisi hatujioni ila tunanena ukweli, huku kwenu Uvivu mwingi...
Facts zinajionesha....
Unapinga lakini unaujua....

Kujua mkoa wangu haitopunguza uvivu wa mikoa ya Pwani.

Eti Handeni ndiyo inawalisha dah 🤣🤣🤣
Una masihala wewe....
 
Ni tofauti za mifumo ya kimaisha tu.

Kwa ujumla Tanzania watu wote ni wavivu na magoigoi ukiwalinganisha na Kenya au Nigeria.

Watu wa pwani wakienda Kilimanjaro wanawaona watu wa huko ni wavivu na wezi wa kutupwa. Kutwa kucha wanalewa tu.
 
Ulitaka uchinjiwe mbuzi? wewe umewapelekea nini?
 
Hapo unaolingana kwa uvivu ni Singida tu....
Tena wao ardhi yao ni kame,,

Pwani ina ardhi nzuri ila haitumiki....
Tabora,Singida na Dodoma,,,wanaangushwa na Ardhi zao tu.
Ila angalieni na population ya mikoa ya pwani ukilinganisha na ukubwa wa maeneo yao, hawawezi kuyalima yote
 
Hayo ni mapori tengefu ndio yanaleta mvua ndio unaona pwani kuna mvua misimu miwili sababu mojawapo ni hayo mapori tengefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…