Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Naam, kila siku data Zinaletwa huku hio mikoa ipo juu kuchangia pato la Taifa, ILa hawaelewi, sio uvuvi tu bali mazao yanaolimwa Pwani hayahitaji uangalizi kila siku kwenda Shamba, Minazi, Poppoo, Machungwa, spice spice kama Karafuu, iliki midalasini etc Kanda ya kaskazini Tanga kila siku inaipita Arusha na Kilimanjaro ila huwezi sikia hao wengine wanaitwa Wavivu.Hao watu Wana Diaspora wengi wanaowatumia hela , hao Diaspora hasa hasa wapo Uarabuni.
By the way shughuli kuu ya watu wa mikoa hiyo ni uvuvi na shughuli hii hufanyika zaidi nyakati za usiku.
Kwa kifupi wakati wewe unarandaranda mabaani kusaka Malaya basi wao huwa baharini kupiga kazi.
Kingine inabid uwe Makin Sana ili uwaelewe hao watu maana unaweza kuchanganya " Uvivu" na " Uvuvi" ukashindwa kuwaelewa kwamba ni wavivu au ni wavuvi?
Hao wanapiga kazi mkuu ndio maana huwaoni kwenye orodha ya mikoa masikin Zaid nchini.