Hajui anachoongea huyo.Ni jinga mmoja tu atakubaliana na upuuzi wako dar kuna msukumo mkubwa wa serikali licha ya mambo mengi yaliyopo ila kubari dar ni jiji la kiserikali kama Dom.
Kuna interview moja mchungaji Hananja anajibu vizuri hii hoja yako, watu wa Pwani ndio wenyeji wa Dar, tangu enzi na enzi darasa la nne anakula maisha bandari au kwa wawekezaji walioanzia Dar, wewe unawaza maendeleo ni kuwa na miparachichi mingi …..Acha kuwatetea hao wavivu..
Mkoa upo karibu na Dar ila wana umasikini wa kufa danganya ambao hawajatembelea huko rufiji, bagamoyo vijijini n.k
Mkoa wa pwani kama ungekuwa unakaliwa na watu kama wa Mbeya ungekuwa zaidi ya hapo.
Kingine mshukuru mungu mkoa wa pwani viwanda vingi vimejengwa wameajiri sana watu wa pwani. Mkuranga Kuna viwanda vingi. Kinyume na hapo ingekuwa shida.
Chalinze miaka na miaka hakuna lolote la maana zaidi ya vijana kuuza mahindi ya kuchoma kwenye mabasi ya mikoani
Nimebisha au nimeuliza?We nae hapa napo pa kubishania!
Mkoa unao ongoza kwa maambukizi ni:
1.Njombe
2.Mbeya
3.Iringa
4.Songwe
5.Shinyanga
Hapo Simiyu haitoki sita bora.
Hivi unaamini per capita ndio kipimo sahihi cha uchumi??Pwani,mtwara,lindi unaviona kweli?. Umasikini gani unazungumzia?.View attachment 2961018
Kweli kabisa.Dar haijatolewa embu tumia akili we zuzu.
Dar ni mji uliokuzwa na serikali kimkakati kwa ajili ya kiuchumi ni kama uonavyo Dodoma ijengwavyo na serikali.
Itoe Dar ambayo ni mji wa nchi nzima ambako kinondoni,Ubungo na kigamboni kote kumeendelezwa na out siders wa bara na kaskazini.
Wazaramo,wakwere wao wamejifungia kisarawe 2 na Chanika huko.
Kanda ya ziwa mikoa yake inajitahidi kupiga hatua ukiitoa Mwanza Katavi,Rukwa zote zinakuja juu kiuchumi pamoja na Geita.
Taja mikoa ya Pwani tofauti na Dar inayopiga hatua?
Kabisa kwasababu ukifuatilia mikoa yenye watu wengi wanao kaa mjini utakuta mikoa yao ipo juu Kwa GDP.Hivi unaamini per capita ndio kipimo sahihi cha uchumi??
Per capita huchukuliwa pato kuu kugawanywa kwa idadi ya raia husika kama sijakosea.
Je hizo hesabu ni sahihi kwa kipimo cha mtu mmoja mmoja kiuchumi!?
Embu kuwa serious we jamaa.
Utapiamlo chanzo chake sio kukosekana kwa chakula bali elimu sahihi juu ya lishe bora.Mshamba wewe bara mnatulisha nn ,huku kila kitu kipo ... Pambaneni na utapiamlo mmeisha kwa njaa.
Umeongea jambo la ukweli kabisa, pwani ardhi kubwa na unapewa kwa bei ndogo shida ni kwenye paliziLete facts mkuu.
Kama umasikini hata Dar ni masikini sana. Dar ina umasikini kwanza ambao haujaisha ndio unataka Pwani ilingane na Dar kimaendeleo?
Haya Pwani wavivu, Singida, Rukwa, Kigoma nako ni nini kimewapata?
Halafu usiongee sana, Wasukuma wanahamia kwa wingi Pwani. Wanadhani wakazi ni wavivu. Wakifika mtu mmoja analima heka nyingi akidhani ni rahisi kutunza shamba. Wanagundua ardhi na majira ya Pwani si kama kwao usukumani. Pwani inapokea mvua nyingi, palizi ni nyingi, magugu yanaota after 2 weeks hata upulize dawa gani. Ndipo wanajifunza kulima kwa akili badala ya nguvu.
Haya tuambie, watu wa Mbeya wangefanya nini Pwani?
Ni sawa na sisi Tanzania per capita iwe kubwa kwasababu ya GDP yetu ni utajiri wa Mo Dewji,Bakhresa ,Galib Said na matajiri wengine wachache.Kabisa kwasababu ukifuatilia mikoa yenye watu wengi wanao kaa mjini utakuta mikoa yao ipo juu Kwa GDP.
Bandari ya serikali fala wewe.Miko yote na kilimo chenu za kimaskini hakifikii hata bandari moja😅😅😅mmejazana hapa washamba .
Ndio maana nakuambia hujui kitu mbar ,Dar sio ya kwanza shenzi achana na hizi za utapiamlo kaangalie za Ukimwi ,
Ukimwi unapata sana wapumbavu wa bara ndio wamauleta pwani.
View attachment 2960974
Kabisa[emoji817][emoji817][emoji818]Ni sawa na sisi Tanzania per capita iwe kubwa kwasababu ya GDP yetu ni utajiri wa Mo Dewji,Bakhresa ,Galib Said na matajiri wengine wachache.
Ila nenda kapimie purchasing power parity ya kila Mtanzania utagundua Tanzania ni masikini sana.
Wewe unajua vitu visivyo sahihi. Jielimishe.Leta ushahidi.
Maana nijuavyo Dar ndio inaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi.
hilo la washamba sijui. mimi nilikuwa nazungumzia mikoa ya watu wavivuUmekurupuka kuni quote huwenda hujui mjadala ulianzia wapi.
Mikoa aliyoleta list ilikua ina majina ya mikoa ya kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini akisema mikoa ya watu washamba.
Ndio nikamuuliza je hivi ajua kama hiyo mikoa huongoza kwa wasomi?
Mjinga ni wewe ambaye hata tofauti ya r na l huioni.Acha ujinga wewe unataka kuwamkenya? Unarishwa na bara, huku akunaga mfumuko wa bei ovyo kama kwenu huko.
Uchumi una evolve mzee.Kuna interview moja mchungaji Hananja anajibu vizuri hii hoja yako, watu wa Pwani ndio wenyeji wa Dar, tangu enzi na enzi darasa la nne anakula maisha bandari au kwa wawekezaji walioanzia Dar, wewe unawaza maendeleo ni kuwa na miparachichi mingi …..
Yeye jamaa anatetea Pwani na akaleta list akidai mikoa ya bara ni ya watu washamba mkuu.hilo la washamba sijui. mimi nilikuwa nazungumzia mikoa ya watu wavivu
Nimemuambia alete ushahidi sikumbishia.Wewe unajua vitu visivyo sahihi. Jielimishe.
wazazi wako tumewafundisha kiswahili na kuosha mwili, wewe dogo wa juzi hata kupiga mswaki hujui u analeta shobo za kishamba.Umfundishe nani wewe mpwani?
Au kufundishana baikoko,mdumange na ngoma za kuchezana ndio elimu??
Nimekwambia nijibu katika mikoa inayoongoza kwa ufala kanda ya pwani inatoa mkoa gani??
TAnga na Mtwara zinaongoza kwa school drop outs kila leo.
KAzi yenu kubwa kujinasibisha na waarabu hata kama mna pua pana kama bomba za meli.
Nataka jibu.
Mkoa gani kanda ya Pwani umepoga hatua kama Mwanza ukiachana na Dar financial hub?
👆👆👆👆Nataka jibu la hilo swali.
PIa nakuletea ushahidi wa Bara kuongoza kimatokea na usomi.
Wewe umeshaleta ushahidi kwamba Dar inaoongoza kwa maambukizo ?Nimemuambia alete ushahidi sikumbishia.
Kama wewe unajua leta ushahidi badala ya mipasho kama mwanaume wa kidigo.
Uzuri kashanijibu hivyo wacha mipasho.
R na l sio ujinga chakufanya acha kujifariji.Mjinga ni wewe ambaye hata tofauti ya r na l huioni.